-
Masoud Juma wa Kenya ajiunga na Klabu ya Soka ya Esteghlal ya Iran
Nov 28, 2024 03:55Massoud Juma, mshambuliaji shupavu wa Kenya amejiunga na kambi ya timu ya Soka ya Esteghlal ambayo iko katika Ligi Kuu ya Soka ya Iran.
-
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran: Majeshi yote ya kigeni lazima yaondoke eneo la Asia Magharibi
Nov 28, 2024 00:00Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Iran amesisitiza kuwa, majeshi yote ya kigeni lazima yaondoke kwenye maji ya eneo la Asia Magharibi na akasema: "maajinabi wanapaswa waje hapa ikiwa tu wataonyesha heshima na taadhima kwa watu wa eneo hili".
-
Iran yaanza kuingiza gesi kwenye mashinepewa mpya baada ya azimio la IAEA
Nov 27, 2024 23:29Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Iran imeanza kuingiza gesi ya urani kwenye mashinepewa au sentrifuji za kisasa kama jibu kwa azimio la hivi karibuni la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA).
-
Iran yakaribisha kusitishwa vita Lebanon, yasisitiza kuwaunga mkono wananchi na Hizbullah
Nov 27, 2024 09:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekaribisha makubaliano ya usitishaji vita kati ya Hizbullah na Israel, na kusisitizia uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa serikali ya Lebanon, wananchi na harakati yake ya Muqawama.
-
Imamu Khamenei: Kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi
Nov 27, 2024 08:34Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono mazungumzo ya kustawisha amani
Nov 27, 2024 04:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu yenye utamaduni na ustaarabu tajiri na wa muda mrefu, ni muungaji mkono na mlinganiaji wa maingiliano na mazungumzo ya kuhimiza amani na kuishi pamoja baina ya nchi mbalimbali.
-
Iran yatilia mkazo umuhimu wa kushirikiana watu wote duniani kukomesha jinai za Israel
Nov 26, 2024 23:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametilia mkazo wajibu wa kushirikiana jamii zote duniani katika kuhakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha jinai zake huko Palestina na Lebanon.
-
Iran mhanga mkubwa zaidi wa silaha za kemikali
Nov 26, 2024 11:21Katika mkutano wa 29 wa mwaka wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali (CWC) huko The Hague, nchi za Magharibi zimenyamazia kimya orodha ya jinai zao za kutumia silaha za kemikali.
-
Jenerali Baqeri: Majibu ya Iran kwa uvamizi wa Israel yatakuwa 'zaidi ya inavyodhaniwa'
Nov 26, 2024 10:06Kamanda wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Majeshi ya Iran yameandaa jibu kali kwa shambulio la mwezi uliopita la utawala wa Israel dhidi ya Iran, akisisitiza kwamba kulipiza kisasi kutakuwa "tofauti" na "zaidi ya inavyodhaniwa" na utawala huo ghasibu.
-
Hemmati: Iran imeimarika katika mfumo mpya wa dunia
Nov 26, 2024 10:01Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Fedha wa Iran amesema kuongezeka kwa uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu katika mfumo mpya wa dunia kumeiwezesha nchi hii kuchukua nafasi kubwa katika nyanja kama vile kupambana na mabadiliko ya tabianchi, uhamishaji teknolojia na uwekezaji wa pamoja.