-
Iran yalihimiza Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lisimamishe uwanachama wa Israel
Nov 07, 2024 00:01Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelihimiza Baraza Kuu la umoja huo lisimamishe uwanachama wa utawala ghasibu wa Israel kutokana na jinai unazoendelea kufanya dhidi ya Wapalestina, ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku shughuli za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina.
-
Aragchi: Kuna uhusiano wa karibu kati ya kijikundi cha kigaidi cha Jaysh al-Dhulm na utawala wa Kizayuni
Nov 06, 2024 10:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran na Pakistan zinaamini kuna uhusiano wa karibu kati ya kundi kijikundi cha kigaidi cha Jaish al Dhulm na utawala wa Kizayuni na zinasisitiza juu ya kupigana na kukabiliana nalo.
-
Mafanikio mapya ya anga za mbali ya Iran: Kurushwa angani satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod
Nov 06, 2024 07:23Watafiti wa moja ya mashirika ya anga za juu ya Iran kwa kubuni na kutengeneza satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod wameweza kuziingiza kwa mafanikio satelaiti hizo mbili kwenye mzingo wa dunia wenye umbali wa kilomita 500 kwa kutumia roketi ya Soyuz kutokea kituo cha Vostochny nchini Russia, hapo siku ya Jumanne tarehe 5 Novemba.
-
Satalaiti za kwanza za sekta binafsi Iran zatuma ishara za awali
Nov 06, 2024 03:51Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali, ameandika kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba: Ishara za kwanza za satalaiti mbili za "Kauthar na Hud-hud" zimepokewa kwenye kituo kilichoko ndani ya ardhi ya Iran, saa chache baada ya satalaiti hizo kuwekwa kwa ufanisi kwenye mzingo wa kilomita 500 wa dunia.
-
Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa
Nov 05, 2024 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Iran yatoa wito wa kufanyika juhudi zaidi za kurejesha amani Gaza, Lebanon
Nov 05, 2024 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa wito wa kuongezwa juhudi za kidiplomasia za kuleta amani huko Gaza na Lebanon.
-
Upeo angavu katika uhusiano wa Iran na Pakistan
Nov 05, 2024 04:20Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jioni ya jana Jumatatu aliwasili Islamabad, mji mkuu wa Pakistan kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo na kushauriana nao kuhusu uhusiano wa pande mbili na matukio ya kieneo.
-
Waziri wa Mawasiliano wa Iran afanya mazungumzo na Rais wa Venezuela
Nov 05, 2024 03:45Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Venezuela, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran amekutana na kuzungumza na Rais wa Venezuela.
-
Iran yasisitiza kuwa bila shaka itajibu uchokozi wa Israel
Nov 04, 2024 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema bila ya shaka utawala wa Kizayuni wa Israel utapokea jibu kali kutokana na uchokozi wake wa hivi karibuni dhidi Iran.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran linafuatilia kwa karibu meli za kivita za Marekani
Nov 04, 2024 23:15Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu yaIran amepongeza ufuatiliaji wa kina wa kikosi hicho juu ya meli za kivita za Marekani zinazosafiri katika maji ya eneo.