-
Magaidi wakamatwa kusini mashariki mwa Iran
Nov 04, 2024 23:14Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametangaza kukamatwa asilimia 80 ya magaidi walioko kusini mashariki mwa Iran.
-
Rais Pezeshkiani: Leo hii tunakabiliwa na vita kamili vya kiuchumi
Nov 04, 2024 09:13Akizungumzia kukabiliwa na vita kamili vya kiuchumi, Rais Daktari Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: 'Maadui wanajaribu kututia mtegoni kupitia matatizo ya kiuchumi, lakini kamwe hawatafanikiwa.'
-
Mazungumzo ya Waziri wa Mawasiliano wa Iran na Naibu Waziri Mkuu wa Cuba
Nov 04, 2024 08:13Katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini Cuba, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu wa nchi hii katika masuala ya sayansi na teknolojia na kuzungumzia nyanja za maendeleo ya ushirikiano wa kisayansi, kiteknolojia na mawasiliano.
-
Kamanda Fadavi: Vita vya Ghaza vimefedehesha uongo wa miaka 76 wa mabeberu
Nov 03, 2024 23:11Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Marekani ndiye kiranja wa kambi ya batili na kwamba, moja ya sifa za kipekee za vita vya Ghaza ni kuwa walimwengu wamezinduka na wameweza kuelewa kwamba wamekuwa wakidanganywa na mabeberu kwa muda wa miaka 76 kuhusu Palestina na utawala wa Kizayuni.
-
Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika teknolojia ya nyuklia
Nov 03, 2024 22:53Kutokana na juhudi za wanasayansi na wataalamu wake vijana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hivi sasa ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani kwa teknolojia ya nyuklia.
-
Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Nov 03, 2024 09:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na familia za mashahidi wa Jeshi la Ulinzi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliouawa shahidi katika uovu wa hivi karibuni wa utawala wa Kizayuni.
-
Baqaei: Mashinikizo haramu ya Marekani dhidi ya watu wa Iran yameendelea hadi leo
Nov 03, 2024 09:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani sera na mienendo ya kindumakuwili ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Salami: Muqawama utatoa jibu kali dhidi ya kambi ovu
Nov 03, 2024 08:32Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya vikali Marekani na Israel kwamba, uvamizi na kitendo chochote cha kichokozi kitakabiliwa na jibu zito la 'kuvunja meno' la makundi ya Muqawama ya eneo la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu atoa ufafanuzi kuhusu ulazima wa kuendeleza mapambano ya taifa la Iran dhidi ya Marekani
Nov 03, 2024 07:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduuzi ya Kiislamu, Jumamosi ya jana alihutubia kikao cha maelfu ya wanafunzi na wasomi wa vyuo vikuu akieleza sababu za kimsingi za mapambano ya takriban miaka 70 ya taifa la Iran dhidi ya dhulma na sera za kupenda makuu na kujitanua za Marekani.
-
Wairani waadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari
Nov 03, 2024 03:58Sherehe za kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari wa Dunia ambayo huadhimishwa tarehe 13 Aban (Novemba 3 au 4) kila mwaka hapa Iran, zinaendelea mjini Tehran na katika miji mingine kote Iran.