-
Iran yatangaza uungaji mkono wake kwa mamlaka ya kujitawala Sudan
Nov 01, 2025 06:10Iran imesisitiza udharura wa kuendelea kuunga mkono uhuru, umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala nchi ya Sudan huku vurugu kubwa zikiendelea kulitikisa taifa hilo la Afrika.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia Marekani, asema ni tishio la kimataifa
Oct 31, 2025 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaja tangazo la Marekani la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia kuwa ni kitendo kisicho cha kuwajibika na tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na Israel zinachukiwa zaidi duniani
Oct 31, 2025 08:07Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo tawala zinazochukiwa zaidi duniani.
-
Iran na Oman zasisitiza kuimarisha zaidi uhusiano wao wa kidugu
Oct 31, 2025 03:21Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Badr Al-Busaid.
-
Ripoti: Mauzo ya bidhaa za Iran nchini Oman yameongezeka
Oct 30, 2025 23:46Katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani, mauzo ya Iran kwenda Oman yameongezeka kwa asilimia 16.
-
Iran: Mkuu wa IAEA anapasa kuepuka ‘matamshi yasiyo na msingi’ kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya kiraia
Oct 30, 2025 08:51Iran imesema kuwa Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) anajia “kikamilifu” namana miradi ya nishati ya nyuklia ya nchi hii ilivyo ya malengo ya amani na ya kiraia; kwa hiyo anapasa kujiepusha kutoa “matamshi yasiyo na msingi” kuhudu miradi hiyo.
-
Belarus yadhamiria kukuza uhusiano na Iran
Oct 30, 2025 08:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Maxim Ryzhenkov, amesema nchi yake imedhamiria kukuza uhusiano na Iran katika nyanja mbalimbali.
-
Grossi: Hakujaonekana ongezeko la urutubishaji urani nchini Iran
Oct 30, 2025 03:17Licha ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa la Nishati ya Atomiki IAEA kutangaza kuwa hakuna ongezeko lolote la urutubishaji urani nchini Iran, lakini wakati huo huo amedai kuwa kumeonaka harakati mpya katika vituo vya nyuklia vya Iran.
-
Qalibaf: Iran Kamwe Haitasalimu Amri
Oct 29, 2025 23:34Katika hafla ya kuwaenzi mashahidi wa Iran huko Khorasan Kaskazini, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf, ametamka kwa msisitizo kwamba, “Iran kamwe haitasalimu amri.”
-
Mkutano wa ECO mjini Tehran; Ishara ya Utulivu, Uaminifu na Fursa Mpya za Uchumi
Oct 29, 2025 22:48Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.