-
Msemaji wa IRGC: Silaha mpya za Iran za kukabiliana na uchokozi wa adui Marekani na mzayuni ziko njiani
Mar 06, 2026 09:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC ametangaza kuwa mbinu mpya na silaha mpya ziko njiani kuzinduliwa kwa ajili ya kukabiliana na uchokozi wa kijeshi ulioanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni.
-
Mohsen Rezaei: Tutaifukuza Marekani kutoka Ghuba ya Uajemi
Mar 06, 2026 03:50Kamanda wa zamani wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amezungumzia matukio ya hivi karibuni ya vita na kusema: “Wananchi wa Iran wanapaswa kufahamu kwamba wana wao walioko katika vikosi vya ulinzi wako tayari kuwafundisha wahalifu Donald Trump na Benjamin Netanyahu funzo kali kiasi kwamba hawatathubutu tena kufanya jeuri ya aina hii.”
-
Khorramshahr-4 yaingia uwanjani katika operesheni Ahadi ya Kweli 4, yatwanga ngome za Israel
Mar 05, 2026 15:02Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) imetangaza kuwa makombora ya Khorramshahr 4, (Khaybar), ya kikosi cha Anga cha jeshi hilo yameanza kutumika kwa kushambulia katikati ya mji wa Tel Aviv, Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion na kambi ya jeshi la anga la Israel katika uwanja huo.
-
Ghalibaf: Majeshi ya Iran yataendelea kuwaadhibu wavamizi
Mar 05, 2026 10:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendeleza operesheni zake za kulipiza kisasi mpaka ihakikishe imewaadhibu vya kutosha na kuwatia adabu wavamizi walioanzisha chokochoko dhidi ya taifa hili.
-
Larijani: Iran haitajadiliana chochote na makundi yanayotaka kujitenga
Mar 05, 2026 10:31Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haitafanya majadiliano wala mazungumzo yoyote na makundi yanayotaka kujitenga.
-
Hujjatul-Islam Qommi: Mchakato wa kumchagua Kiongozi Mkuu mpya unakaribia kukamilika
Mar 05, 2026 06:02Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Mkuu amesema, mchakato wa kumchagua Kiongozi Mkuu mpya unakaribia kukamilika.
-
Baghaei: Iran haizishambulii nchi jirani, inavilenga vituo na maslahi ya Marekani tu katika eneo
Mar 05, 2026 05:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Esmail Baghaei amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haizishambulii nchi jirani, bali inavilenga vituo vya kijeshi na vya maslahi ya Marekani vilivyoko katika eneo hili.
-
Pezeshkian: Hujuma ya kijeshi ya Marekani-Israel imetuachia njia moja tu ya kujihami
Mar 05, 2026 05:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake kwa viongozi wa nchi rafiki na majirani kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yameiacha Iran bila chaguo lolote isipokuwa kujilinda.
-
Larijani: Zaidi ya wanajeshi 500 wa Marekani wameuawa
Mar 05, 2026 04:42Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Ali Larijani amesema kuwa rais Donald Trump wa Marekani anapaswa kutarajia gharama bora zaidi baada ya kukuza kwa zaidi ya wanajeshi wa Marekani 500 wameuawa.
-
Military Watch: Ni vigumu kutungua makombora ya hypersoniki ya Iran
Mar 05, 2026 04:05Jarida lenye sifa za kitaalamu la Military Watch limeripoti kuwa kombora jipya la Iran linalojulikana kwa jina la “Fatah-2”, ni changamoto kubwa kwa mifumo ya ulinzi ya Magharibi na waitifaki wake.