-
Araghchi: Marekani itapata majuto makubwa kwa kuizamisha manowari ya Iran ya Dena
Mar 05, 2026 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa mjibizo kwa hatua ya jeshi la kigaidi la Marekani ya kuilenga na kuigharikisha manowari ndogo ya Dena na kusisitiza kwamba, Washington itapata majuto makubwa kwa kuanzisha mwenendo huo.
-
Lavrov: Hujuma ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni kinyume cha sheria za kimataifa
Mar 05, 2026 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Seyed Abbas Araghchi ametangaza wazi kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni kinyume na kanuni za msingi za sheria ya kimataifa.
-
Kamandi ya Khatam al-Anbia: Wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai
Mar 04, 2026 12:52Msemaji wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ya “Khatam al-Anbia” ametoa taarifa akisema kuwa wanajeshi 100 wa Marekani wameuawa katika shambulizi la Iran huko Dubai.
-
Anadolu: Iran imeitia Marekani hasara ya dola bilioni 2 hadi sasa, ACP yasema ni dola bilioni 5
Mar 04, 2026 12:10Shirika la Habari la Anadolu limeripoti leo Jumatano kwamba tangu kuanza kwa vita vya sasa vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, Jumamosi iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu imeharibu zana za kivita za Marekani zenye thamani ya dola bilioni mbili.
-
Araqchi: Trump amesaliti diplomasia na watu wa Marekani
Mar 04, 2026 12:06Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameisaliti diplomasia na watu wa Marekani waliompigia kura akisisitiza kuwa: Wakati uongo mkubwa unapopotosha ukweli wa mambo, maratajio yasiyo ya kweli katu hayawezi kutimizwa.
-
Military Watch: Fattah 2 haiwezi kuzuiwa na makombora ya Marekani
Mar 04, 2026 11:59Jarida maarufu la Military Watch limefichua kuwa ni karibu muhali kuweza kuzuia kombora jipya la hypersonic la Iran, Fattah 2, kutokana na kasi yake ya kustaajabisha na uwezo wake mkubwa wa manuva.
-
Mazungumzo na Iran yameonyesha wazi kuwa Marekani ililenga kuhadaa
Mar 04, 2026 03:59Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje ya Iran na ambaye sasa ni mbunge amesema kuwa mazungumzo yameonyesha kuwa Marekani imekuwa ikifuatilia sera ya hadaa.
-
Wanafunzi 185 wameuawa shahidi Iran katika hujuma za kigaidi za Israel, Marekani
Mar 04, 2026 02:23Waziri wa Elimu Iran, Alireza Kazemi, amesema katika mashambulizi ya kigaidi yaliyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran Jumamosi, hadi sasa wanafunzi wasiopungua 185 wameuawa shahidi.
-
IRGC: Hakuna jinai na mauaji ya kidhulma yanayofanywa na US na wazayuni yatayopita bila ya jibu
Mar 03, 2026 15:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa, wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni wajue kwamba hakuna hata moja kati ya jinai na mauaji ya kidhulma wanayofanya yatakayopita bila ya jibu.
-
IRGC: Majibu yajayo yatakuwa makali zaidi, Tel Aviv yateketea kwa makombora
Mar 03, 2026 14:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, kiwango cha nguvu za makombora kitaongezwa na mwendelezo wa mashambulio dhidi ya maadui wavamizi utazidi kurefushwa.