Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran na Afrika

  • Ghalibaf: Nchi za Afrika kwa Iran ni muhimu sana kama ilivyo kundi la BRICS

    Ghalibaf: Nchi za Afrika kwa Iran ni muhimu sana kama ilivyo kundi la BRICS

    Sep 28, 2023 15:24

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema katika mazungumzo na wanaharakati na wabunge wa Afrika Kusini kwamba, Tehran inaamini kuwa, umuhimu wa nchi za Afrika hususan Afrika Kusini ni mkuubwa na ni sawa na umuhimu wa kundi la BRICS, kwa Iran. 

  • Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia

    Iran na Djibouti zakubaliana kufufua uhusiano wa kidiplomasia

    Sep 23, 2023 04:08

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Djibouti wameafikiana juu ya kuhuisha uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Asmara, kwa maslahi ya mataifa haya mawili.

  • Hilali Nyekundu ya Iran yatuma misaada ya kibinadamu Libya

    Hilali Nyekundu ya Iran yatuma misaada ya kibinadamu Libya

    Sep 17, 2023 04:39

    Mkuu wa Shirika la Hlilali Nyekundu la Iran (IRCS) amesema jumuiya hiyo imetuma tani 40 za misaada ya dharura nchini Libya, kufuatia maafa makubwa ya roho na mali za watu yaliyosababishwa na mafuriko makubwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Spika wa Bunge la Iran aelezea masikitiko yake kwa serikali na watu wa Libya baada ya mafuriko

    Spika wa Bunge la Iran aelezea masikitiko yake kwa serikali na watu wa Libya baada ya mafuriko

    Sep 14, 2023 02:55

    Katika ujumbe wake kwa Spika mwezake wa Bunge la Libya, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameelezea masikitiko yake kwa serikali na wananchi wa Libya kufuatia maafa makubwa ya roho na mali za watu yaliyosababishwa na mafuriko makubwa katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika

  • Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Iran yasikitishwa na zilzala iliyoua maelfu Morocco; kutuma nchini humo misaada ya kibinadamu

    Sep 10, 2023 10:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutuma misaada ya kibinadamu nchini Morocco, kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililoua maelfu ya watu.

  • Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho

    Raisi: Mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni ni ishara ya mwamko na kuwa macho

    Sep 04, 2023 14:06

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kusimama kidete na mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni na ugaidi, na kuyataja kuwa ni ishara ya mwamko, kuwa macho na utambuzi sahihi wa mahitaji ya zama ya nchi hizo.

  • Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

    Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

    Aug 25, 2023 12:38

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika.

  • Rais Ibrahim Raisi: Iran iko tayari kushirikiana na Tanzania katika nyuga mbalimbali

    Rais Ibrahim Raisi: Iran iko tayari kushirikiana na Tanzania katika nyuga mbalimbali

    Aug 25, 2023 03:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wa Iran wa kushirikiana na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nyanja mbalimbali kama za kutoa huduma za uhandisi wa kiufundi, ujenzi wa mabwawa, mitambo ya kuzalisha umeme, kilimo na viwanda.

  • Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS

    Aug 24, 2023 07:53

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.

  • Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa

    Iran na Algeria zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kimataifa

    Aug 21, 2023 13:12

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Algeria wamesisitiza udharura wa kustawishwa uhusiano wa kiuchumi, kieneo na kimataifa wa pande mbili.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Hamas yailaani Israel kwa kumuua mwandishi mashuhuri wa habari Gaza

    Hamas yailaani Israel kwa kumuua mwandishi mashuhuri wa habari Gaza

    8 hours ago
  • Rais Trump wa Marekani awasili Saudia, alenga kutoka na kitita cha dola trilioni 1

  • Mkutano wa 31 wa Nyuklia wa Iran wafunguliwa mjini Mashhad

  • Somalia yasajili wapiga kura baada ya miaka 56 ya kutokuwa na upigaji kura

  • Joto lasababisha madhara makubwa barani Afrika

Chaguo La Mhariri
  • Kukandamizwa watetezi wa Palestina na kuporomoka maadili ya kibinadamu barani Ulaya

    Kukandamizwa watetezi wa Palestina na kuporomoka maadili ya kibinadamu barani Ulaya

    13 hours ago
  • Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?

    Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?

    18 hours ago
  • Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan

    Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan

    2 days ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan

  • Wazayuni wahamaki baada ya Trump kukiri Wayemen ni mashujaa

  • Iran kujiunga na safu ya watengenezaji wa ndege za kibiashara duniani

  • "Israel imehusika katika mapigano baina ya India na Pakistan"

  • Mizizi ya ukoloni katika mzozo wa India na Pakistan

  • Jenerali wa zamani aonya: Israel imegeuka kutoka kuwa mali na kuwa mzigo kwa Marekani

  • Rais Traoré wa Burkina Faso aikosoa vikali kamandi ya kijeshi ya Marekani barani Afrika

  • Kundi la PKK lavunjwa katika juhudi za kufikia amani na Uturuki

  • Rais Trump wa Marekani awasili Saudia, alenga kutoka na kitita cha dola trilioni 1

  • Hamas yakubali kumwachilia huru mateka Mmarekani-Muisraeli

  • Milio ya risasi yasikika Tripoli baada ya mauaji ya kiongozi wa wanamgambo

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS