-
Hamas imerejesha nafasi yake kama mtawala wa Ukanda wa Ghaza
Jan 05, 2026 23:50Shirika la habari la Tasnim limevinukuu vyombo vya habari vya Israel vikitangaza kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imerejesha udhibiti wake kama mtawala mwenye nguvu kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Saudia yaendelea kushambulia maeneo ya mamluki wa Imarati nchini Yemen
Jan 05, 2026 23:50Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mashambulizi dhidi ya maeneo ya mamluki wa Imarati yakiwemo makao makuu ya mamluki hao huko mashariki mwa Yemen.
-
Rais mteule wa Guinea: Kipaumbele changu ni kuleta umoja, utulivu na maendeleo
Jan 05, 2026 23:47Rais mteule wa Jamhuri ya Guinea, Mamady Doumbouya, ameahidi kufanyia kazi sana suala la kuleta umoja na mshikamano, utawala wa sheria na ustawi wa wananchi wote, katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?
Jan 05, 2026 08:27Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Iran: Marekani lazima imwachie huru Rais iliyemteka nyara wa Venezuela
Jan 05, 2026 08:04Iran, kwa mara nyingine tena, imekosoa kitendo cha Marekani cha kumteka nyara Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe, Cilia Flore, na kueleza kuwa waliotekwa nyara lazima waachiwe huru kama inavyosisitizwa na maafisa na wananchi wa Venezuela.
-
Qalibaf: Waandamanaji wasikilizwe, vibaraka wa mataifa ya kigeni watashughulikiwa
Jan 05, 2026 07:53Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kwamba maandamano ya watu lazima yasikilizwe, huku akionya kwamba watu binafsi wanaohusishwa na mashirika ya ujasusi ya kigeni wanaotaka kuteka nyara maandamano ya amani ya wananchi na kuyageuza kuwa ghasia, lazima washughulikiwe kivyao.
-
Jeshi la Sudan ladungua ndege zisizo na rubani za RSF, karibu 100 wameuawa Darfur ndani ya wiki moja
Jan 05, 2026 07:20Jeshi la Sudan limetangaza leo Jumatatu kwamba limedungua ndege zisizo na rubani za waasi wa Rapid Support Forces (RSF) zilizojaribu kushambulia bwawa na makao makuu ya kambi mbili za kijeshi, huku vyanzo vya matibabu vikithibitisha kwamba watu 114 wameuawa katika wiki moja katika mashambulizi tofauti katika eneo la Darfur, huko magharibi mwa Sudan.
-
Jaribio jipya la mapinduzi nchini Burkina Faso, hali inaripotiwa kuwa tete Ouagadougou, Bobo-Dioulasso
Jan 05, 2026 06:51Burkina Faso ilikumbwa na hali ya wasiwasi siku za Jumamosi na Jumapili ya jana, kufuatia ripoti za kuwepo jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais wa mpito wa nchi hiyo, Ibrahim Traoré.
-
Cuba yatangaza vifo vya raia wake 32 katika shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela.
Jan 05, 2026 04:57Serikali ya Cuba imetangaza kwamba raia wake 32 waliuawa wakati wa shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, ambapo askari wa kikosi maalumu wa Marekani walimteka nyara Rais Nicolas Maduro na mkewe na kuwapeleka New York.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 5
Jan 05, 2026 04:34Natumai huna neno hapo ulipo mskilizaji mpenzi. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa.