-
Mapigano mapya yaripotiwa kati ya vikosi vya DRC na waasi wa M23 karibu na mji muhimu wa Uvira
Jan 03, 2026 08:41Mapigano makali yamejiri leo Jumamosi kati ya waasi wa wenye silaha wa kundi la M23 na vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Kinshasa katika miji kadhaa karibu na mji wa Uvira, mashariki mwa DR Congo, vyanzo vya ndani vilisema.
-
Watoto wa Gaza walilipa gharama kubwa mwaka uliomalizika majuzi wa 2025
Jan 03, 2026 08:34Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watoto wa Gaza walilipa gharama kubwa mwaka uliomalizika wa 2025 kutokana na vita na mzingiro wa utawala wa Israel dhidi ya Ukanda huo.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela
Jan 03, 2026 08:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa ikilaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya nchi hiyo.
-
Marekani yathibitisha kumkamata Rais Maduro wa Venezuela
Jan 03, 2026 07:29Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kuwa nchi yake imemkamata mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro.
-
Iran yaihutubu UN kuhusu 'mwenendo haramu endelevu' wa Trump
Jan 03, 2026 03:31Iran imeuonya rasmi Umoja wa Mataifa kuhusu "mwenendo haramu endelevu" wa Marekani, kufuatia matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump ambayo Jamhuri ya Kiislamu imeyashutumu na kuyaeleza kama ya uingiliaji wa mambo yake ya ndani na tishio la wazi la utumiaji nguvu.
-
Nchi za Waislamu zataka kuruhusiwa misaada ya kibinadamu Gaza
Jan 03, 2026 02:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa mataifa manane ya Waislamu wameitaka jamii ya kimataifa kuishinikiza Israel, kama dola linalokalia kwa mabavu ardhi za Palestina, kuondoa mara moja vizingiti na vikwazo vya kuingia kwa misaada ya msingi na ya dharura katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran, ulimwengu wa Kiislamu waadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa Imam Ali AS
Jan 03, 2026 02:34Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejiunga na wenzao kote duniani kuadhimisha siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (AS) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni.
-
Somalia yapokezwa uenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la UN
Jan 03, 2026 02:33Somalia jana Ijumaa ilichukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha mwezi huu wa Januari, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kushikilia wadhifa huo tangu ilipohudumu mara ya mwisho katika baraza hilo mwaka 1971-72.
-
Chuki dhidi ya Waislamu yaongezeka Australia baada ya shambulio la Bondi
Jan 03, 2026 02:31Afisa mmoja wa Australia ametoa tahadhari kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu tangu kujiri shambulio la Bondi mwezi uliopita, ambalo lililenga jamii ya Wayahudi wa nchi hiyo katika tamasha la Hanukkah.
-
Araghchi amjibu Trump: Vikosi vya Iran viko tayari kujibu mapigo
Jan 02, 2026 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amemuonya Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu, akikosoa matamshi yake ya hivi karibuni na kuyaeleza kuwa "yasiyo na busara na hatarishi," na kusisitiza kwamba vikosi vya jeshi la Iran vimejiandaa kikamilifu kulinda mamlaka ya kujitawala nchi hii.