-
Kiwanda kikubwa cha nishati ya jua cha Iran kuzalisha umeme wa nyumba milioni 2.5
Dec 15, 2025 03:20Iran iko mbioni kukamilisha ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nishati ya jua katika mkoa wa Isfahan wa katikati mwa Iran, mradi ambao unaotarajiwa kuzalisha umeme kwa karibu nyumba milioni 2.5 humu nchini.
-
Israel yaendelea kushambulia Ghaza na Ukingo wa Magharibi
Dec 15, 2025 02:54Pars Today- Ndege za kivita na mizinga ya Israel kwa mara nyingine tena imeshambulia maeneo mbalimbali ya Ghaza, na wakati huo huo utawala huo katili umefanya mashambulizi makubwa katika Ukingo wa Magharibi dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Vifaa vya tiiba vya Iran sasa kuzalishwa nchini Venezuela
Dec 14, 2025 23:36Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya Venezuela imetangaza kusainiwa makubaliano ya kimkakati na kampuni ya Iran kwa ajili ya kuzindua njia nne za uzalishaji wa vifaa muhimu vya matibabu nchini Venezuela.
-
Umoja wa Mataifa: Tanzania ni rejea ya amani Afrika na duniani kote
Dec 14, 2025 23:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Tanzania imekuwa ni rejea muhimu ya amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na duniani kote.
-
Aragchi: Ushirikishwaji wa Afghanistan ni msingi wa uthabiti wa kudumu
Dec 14, 2025 22:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema uthabiti wa Afghanistan unategemea kuingizwa kwake kikamilifu katika mifumo ya kisiasa na kiuchumi ya kikanda, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa majirani badala ya kutegemea nguvu za nje.
-
UNICEF yaonya kuhusu mlipuko wa magonjwa miongoni mwa watoto Gaza
Dec 14, 2025 22:54Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeonya juu ya ongezeko la hatari ya milipuko ya magonjwa miongoni mwa watoto katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina.
-
Brigedia Jenerali Ali Jahanshahi: Iran imejiandaa kukabiliana na aina yoyote ile ya vitisho
Dec 14, 2025 22:52Brigedia Jenerali Ali Jahanshahi, Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikosi vya ulinzi vikiwa na zana kamili, silaha na uwezo viko tayari kukabiliana na tishio lolote la adui kwa kusikiliza amri ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Dec 14, 2025 22:48Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Iran yalaani shambulio la “kikatili” dhidi ya hafla ya Kiyahudi nchini Australia
Dec 14, 2025 22:47Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la “kikatili” lililolenga hafla ya Kiyahudi mjini Sydney, Australia, shambulio ambalo limeua watu wasiopungua 12 na kuwajeruhi wengine kadhaa.
-
WHO: Zaidi ya Wapalestina 1,000 wamefariki Gaza baada ya Israel kuwazuia kusafiri kupata matibabu
Dec 14, 2025 22:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema zaidi ya Wapalestina 1,000 wamepoteza maisha katika Ukanda wa Gaza kati ya Julai 2024 na Novemba 2025, wakisubiri ruhusa ya utawala wa Israel kuhamishwa kwa ajili ya matibabu kutoka kwa mamlaka za Kizayuni.