-
Ushirikiano kati ya Iran na wanachama wa BRICS: Mkakati wa kuimarisha ushirikiano wa pande nyingi
Dec 14, 2025 08:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Ethiopia kwamba: BRICS inaweza kuandaa mazingira ya kuwepo ushirikiano wa haki na wenye uwiano katika ngazi ya kimataifa.
-
Iran: Mvutano Yemen unanufaisha mkakati wa Israel wa kuvuruga Asia Magharibi
Dec 14, 2025 06:30Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa tahadhari kali kuhusu mvutano unaoendelea nchini Yemen, ikisema hali hiyo inaunufaisha tu utawala wa Israel na mkakati wake wa kuzigawa nchi za Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
-
Ripoti yatahadharisha: Mamilioni ya Waingereza Waislamu wako hatarini kuvuliwa uraia
Dec 14, 2025 06:15Mamlaka ya kunyang'anya uraia yanayoelezewa kuwa ni ya "kupindukia mpaka na yenye usiri" iliyopewa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza yanawaweka mamilioni ya Waislamu raia wa nchi hiyo katika hatari ya kuvuliwa uraia wao.
-
Machafuko ya baada ya uchaguzi Cameroon: Waandamanaji wafungwa jela, wengine waachiwa huru
Dec 14, 2025 06:14Mgogoro wa kisiasa unaendelea kuikumba Cameroon wiki chache tu baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa rais.
-
Mkutano wa ECOWAS wafanyika Abuja, Guinea-Bissau na Benin katika ajenda
Dec 14, 2025 06:08Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeanza rasmi Jumapili mjini Abuja, Nigeria, ukikusanya viongozi wa kikanda kujadili masuala nyeti yanayoathiri eneo la Afrika Magharibi.
-
Hamas yalaani mauaji ya kamanda wake, raia Gaza
Dec 14, 2025 05:43Kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza, Khalil al-Hayya, katika taarifa yake ya video leo Jumapili amethibitisha kuwa, kamanda mwandamizi wa harakati hiyo, Raed Saed ni miongoni mwa watu watano waliouawa shahidi katika shambulio la Israel huko Gaza.
-
Spika Qalibaf: Daima tunafuatilia kupanua uhusiano na nchi za Afrika
Dec 14, 2025 03:41Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, daima taifa hili limekuwa likifuatilia kupanua ushirikiano na mataifa ya Kiafrika.
-
UNICEF yaonya kuhusu mlipuko wa magonjwa miongoni mwa watoto Gaza
Dec 14, 2025 03:41Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umeonya juu ya ongezeko la hatari ya milipuko ya magonjwa miongoni mwa watoto katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina.
-
Brigedia Jenerali Ali Jahanshahi: Iran imejiandaa kukabiliana na aina yoyote ile ya vitisho
Dec 14, 2025 03:40Brigedia Jenerali Ali Jahanshahi, Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, vikosi vya ulinzi vikiwa na zana kamili, silaha na uwezo viko tayari kukabiliana na tishio lolote la adui kwa kusikiliza amri ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Idadi ya watu waliokufa katika mafuriko Indonesia yapindukia 1000
Dec 14, 2025 03:39Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na janga la mafuriko nchini Indonesia imeongezeka na kupindukia 1000.