-
Serikali ya Kongo yatoa hakikisho; yasema haitasalimu amri licha ya hali ya wasiwasi mashariki mwa nchi
Dec 13, 2025 06:22Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana Ijumaa ilitoa hakikisho ikieleza kuwa jeshi la nchi hiyo halitasalimu amri" kufuatia kutekwa mji wa Uvira.
-
Kuongezeka idadi ya nchi zilizosusia Mashindano ya Eurovision kulalamikia kushirikishwa utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2025 05:54Idadi ya nchi zilizosusia mashindano ya Eurovision zikipinga kushirikishwa utawala wa Kizayuni katika mashindano hayo, imeongezeka.
-
UN yasikitishwa na shambulio la droni lililoua zaidi ya raia 30 Sudan
Dec 13, 2025 05:23Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amesikitishwa sana na shambulio la droni yaani ndege isiyo na rubani lililoua raia wasiopungua 30 katika Jimbo la Darfur Kusini, huko Sudan.
-
‘Ondoka, mwizi wewe. Barakoa yako imeanguka’: Maduro aishutumu Marekani kwa kunyemelea mafuta ya Venezuela
Dec 13, 2025 04:19Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ameishutumu Marekani kwa kutumia madai ya biashara haramu ya dawa za kulevya kama kisingizio cha kunyakua maliasili za nchi yake, hasa mafuta ya petroli.
-
WFP yaamua kupunguza mgao wa chakula kwa wanaokabiliwa na njaa nchini Sudan
Dec 13, 2025 03:53Shirika la Chakula Duniani la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kwamba litaanza kupunguza mgao wa chakula unaotolewa kwa watu wa Sudan wanaokabiliwa na hatari ya njaa, kutokana na ukosefu wa ufadhili.
-
Trump, Clinton na Gates waonekana katika seti mpya ya picha za Epstein
Dec 13, 2025 03:52Wanachama wa chama cha Democratic katika Congress ya Marekani wamefichua picha mpya zinazomdhihirisha Rais wa Marekani, Donald Trump, Rais wa zamani Bill Clinton, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates na watu wengine wenye ushawishi wakiwa pamoja na mfanyabiashara aliyepatikana na hatia ya kufanya biashara haramu ya ngono ya watoto, Jeffrey Epstein.
-
Wapalestina 14, wakiwemo watoto, wafariki dunia Gaza kutokana na baridi kali
Dec 13, 2025 03:28Wapalestina wasiopungua 14 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika kipindi cha chini ya saa 24 huku baridi na dhoruba kali ikiendelea kunguruma katika Ukanda wa Gaza, na kuangusha majengo na miundo mbinu katika maeneo kadhaa.
-
Kama ishara ya mvutano na Ethiopia: Eritrea yajiondoa tena katika jumuiya ya IGAD
Dec 13, 2025 03:03Eritrea ilitangaza jana Ijumaa kwamba imejiondoa katika Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali za nchi za Afrika Mashariki, maarufu kama IGAD, huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea wasiwasi wake kuhusu mvutano kati ya Asmara na Addis Ababa.
-
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio la kuitaka Israel iondoe vizuizi vya msaada Gaza
Dec 12, 2025 23:19Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio linaloitaka Israel kuruhusu kutolewa kwa huduma za kibinadamu pasi na vikwazo na vizingiti katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran, Russia zasisitiza kutekeleza mkataba wa ushirikiano wa kimkakati katika mazungumzo ya Pezeshkian na Putin
Dec 12, 2025 23:04Rais Masoud Pezeshkian jana Ijumaa alikutana na kuzungumza na Rais Vladimir Putin wa Russia pambizoni mwa Mkutano wa Kimataifa wa Amani na Uaminifu uliofanyika huko Ashgabat mji mkuu wa Turkmenistan na kusisitiza kuhusu azma thabiti ya Iran ya kutekeleza makubaliano kuhusu ushirikiano wa kina wa kimkakati kati yake na Russia.