-
Vita vya Kijasusi; Kadi ya Ushindi ya Iran dhidi ya Utawala wa Kizayuni
Dec 04, 2025 08:41Meya wa Bat Yam katikati ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, zilizopachikwa jina bandia la Israel, amekiri kuongezeka kwa ushawishi wa kijasusi wa Iran.
-
Microsoft yalaumiwa kuhusika na jinai za Israel za maauaji kimbari dhidi ya Gaza
Dec 04, 2025 08:35Muungano wa makundi ya kisheria umelionya shirika la Microsoft kwamba utoaji wake wa huduma kwa Israel wakati wa vita vya mauaji ya kimbari huko Gaza huenda ukaifanya kampuni hiyo kubwa ya teknolojia ya Marekani ishtakiwe katika mahakama za kimataifa.
-
Waziri Mkuu wa Somalia akosoa kauli za dharau za Trump kuhusu Somalia na wahamiaji wa Kisomali
Dec 04, 2025 08:35Waziri Mkuu wa Somalia, Hamza Abdi Barre, siku ya Jumatano alikosoa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump yaliyolenga Somalia na wahamiaji wa Kisomali walioko Marekani.
-
Televisheni ya Kiebrania ya Iran yazua wasiwasi katika vyombo vya habari vya Israel
Dec 04, 2025 08:33Press TV ya Iran imezindua kitengo cha lugha ya Kiebrania jambo ambalo limezua hofu katika duru za vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwani hatua hiyo inaonekana kama sehemu ya juhudi za kimkakati za Iran kuathiri maoni ya Waisraeli huku kukiwa na vita vya simulizi vinavyozidi kupamba moto.
-
Kamanda wa IRGC: Usalama wa Ghuba ya Uajemi ni 'mstari mwekundu'
Dec 04, 2025 04:17Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametoa onyo kali kwa Marekani na washirika wake kuhusu Ghuba ya Uajemi na Mlango-Bahari wa Hormoz, akisema usalama wa njia hiyo ya maji ni "mstari mwekundu" wa Iran na misheni kuu ya IRGC.
-
Guterres: Mwenendo wa vita wa Israel huko Gaza 'kimsingi si sahihi'
Dec 04, 2025 04:16Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani namna Israel ilivyoendesha vita dhidi ya Gaza na kuutaja mwenendo huo kuwa kimsingi si sahihi. Amesema, kuna sababu kubwa" za kuamini kwamba wanajeshi wa Israel wametenda jinai za kivita katika ardhi ya Palestina.
-
Ethiopia yapinga madai ya 'kikoloni' ya Misri huku mzozo wa bwawa la Nile ukiongezeka
Dec 04, 2025 04:16Ethiopia jana iliikosoa vikali Misri na kuituhumu nchi hiyo kwa kuyumbisha utulivu wa eneo la Pembe ya Afrika ili kudumisha ukiritimba wa kikoloni mwa Mto Nile.
-
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio linaloitaka Israel iondoke katika maeneo ya Wapalestina
Dec 04, 2025 04:15Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha rasimu ya azimio llinaloitaka Israeli iondoke kwenye maeneo ya Palestina iliyoyavamia na kuyakaliwa kwa mabavu tangu 1967, ikiwa ni pamoja na al-Quds Mashariki. Rasimu ya azimipia imeitaka Israel itambue haki ya watu wa Palestina ya kujitawala na kuasisi nchi huru.
-
Meya wa Minneapolis apinga matamshi ya Donald Trump dhidi ya Wasomali
Dec 04, 2025 04:15Maafisa katika mji wa Minneapolis nchini Marekani wameungana ili kuondoa hofu iliyotanda miongoni mwa jamii kubwa ya Wasomali katika mji huo.
-
China yapinga uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Venezuela
Dec 04, 2025 00:34Serikali ya China imetangaza kuwa, inapinga vikali uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela.