-
Trump asema huenda akaishambulia kijeshi Mexico
Nov 18, 2025 22:53Rais wa Marekani Donald Trump ametaja uwezekano wa kuanzisha mashambulizi ya kijeshi nchini Mexico kwa madai ya eti kukabiliana na magenge ya dawa za kulevya.
-
Kwa nini Afrika Kusini imedhamiria kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki huko Gaza?
Nov 18, 2025 22:42Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa, itaendelea kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa tuhuma za kutenda mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Vipi mauzo ya Iran kwa Afrika yamevunja rekodi katika nusu ya kwanza ya mwaka 1404 Hijria Shamsia?
Nov 18, 2025 08:37Mauzo ya bidhaa za Iran barani Afrika yaliongezeka maradufu katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu (1404 Hijria Shamsia), na kufikia dola milioni 675.
-
Araghchi: Sheria za kimataifa bado “zipo hai” licha ya kushambuliwa
Nov 18, 2025 07:56Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesisitiza ujumbe wa mkutano wa kimataifa kuhusu sheria za kimataifa, akisema mkutano huo umeonyesha dhamira ya Tehran ya kutetea haki mbele ya mashambulizi ya kigeni.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa India kufuatia kuaga dunia ajalini mahujaji wa nchi hiyo huko Saudi Arabia
Nov 18, 2025 07:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mahujaji wa ibada ya Umrah wa India waliofariki dunia katika ajali ya basi nchini Saudi Arabia.
-
Chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza: Mgogoro wa kimuundo unaoendelea kwa miaka kumi
Nov 18, 2025 07:53Katika kumbukumbu ya siku ya kuchapishwa ripoti ya "Mazingira ya Chuki", Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) imetangaza kuwa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo haijapungua, bali pia imefikia hatua ya kutia wasiwasi zaidi katika mfumo wa kimuundo na kitaasisi; mwelekeo ambao una matokeo mabaya sana ya kijamii na kisiasa.
-
Wagonjwa ni kati ya watu karibu 30 waliouawa katika shambulio la waasi mashariki mwa Kongo
Nov 18, 2025 07:28Takriban watu 29, wakiwemo wagonjwa wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na waasi wa Allied Democratic Forces (ADF) ambalo lililenga kituo cha afya na vijiji kadhaa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Umoja wa Mataifa: Wayemen milioni 17 wanakabiliwa na njaa kali
Nov 18, 2025 07:19Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake ya hivi punde kwamba raia milioni 17 wa Yemen wanakabiliwa na njaa kali, na idadi hii inatarajiwa kuongezeka.
-
Naibu Katibu Mkuu wa UN: Njaa na migogoro ni tishio kwa usalama wa kimataifa
Nov 18, 2025 04:22Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina Mohammed, ameonya tena kwamba uhusiano unaozidisha hali mbaya baina ya njaa na migogoro ni "tishio la kimkakati kwa usalama wa kimataifa.
-
Chuo Kikuu cha Harvard: Gen Z wa Marekani wanaifadhilisha Hamas kuliko Israel
Nov 18, 2025 04:19Matokeo ya utafiti mpya yanaonyesha kuwa asilimia 60 ya Kizazi kipya, Gen-Z nchini Marekani wanapendelea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina "Hamas" kuliko utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Gaza.