-
Jeshi la Sudan laondoka "Umm Sayala" huku mapigano makali yakiendelea Kordofan
Nov 18, 2025 03:36Chanzo cha kijeshi kimethibitisha kwamba jeshi la Sudan na vikosi washirika jana Jumatatu viliondoka katika mji wa Umm Sayala huko Darfur Kaskazini, saa chache baada ya kuukomboa kutoka kwa wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF), huku mapigano yakiiendelea katika maeneo kadhaa ya eneo hilo.
-
Umoja wa Mataifa: Wayemeni milioni 17 wanakabiliwa na njaa kali
Nov 18, 2025 02:54Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake ya hivi punde kwamba raia milioni 17 wa Yemen wanakabiliwa na njaa kali, na idadi hii inatarajiwa kuongezeka.
-
Muungano wa Oxford: Israel ni tishio kubwa zaidi kwa amani Asia Magharibi
Nov 18, 2025 02:50Muungano wa Oxford umeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Baraza la Usalama la UN laidhinisha mpango wa Marekani kuhusu Gaza, Hamas yapinga azimio la UNSC
Nov 18, 2025 02:06Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio lililoandaliwa na Marekani la kuanzisha Kikosi cha Kimataifa cha Kurejesha Utulivu (ISF) katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Lazima IAEA idumishe uadilifu wa kiufundi na kutoegemea upande wowote kisiasa
Nov 17, 2025 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lazima utimize maagizo uliyokabidhiwa ya kiufundi, ujiepushe na mielekeo ya kisiasa, na kukataa mashinikizo yanayotolewa na Marekani na washirika wake wa Ulaya.
-
Ukata na umaskini wa Wazayuni umeongezeka kwa theluthi nzima baada ya Oktoba 7
Nov 17, 2025 22:53Mfumuko wa bei na gharama ya maisha zinazidi kupanda huko Israel. Huku hali ikiwa hivyo ripoti rasmi ya Taasisi ya Bima ya Israel inaoneesha kwamba umaskini umeongezeka kwa zaidi ya theluthi moja kwa wakazi wa utawala huo baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ya Oktoba 7, 2023.
-
Nchi za Maziwa Makuu zaitangaza RSF kuwa ni kundi la kigaidi
Nov 17, 2025 22:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kwamba Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu uliofanyika Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeidhinisha pendekezo la kuvitangaza Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF kuwa ni "kundi la kigaidi."
-
Russia: Hatutaki vita wala mzozo wa kijeshi na NATO
Nov 17, 2025 22:52Msemaji wa serikali ya Russia amepinga taarifa za kuchochea vita zinazoenezwa katika nchi za Ulaya na kwa mara nyingine amesisitiza kwamba Moscow inachukua hatua zinazohitajika kulinda usalama wake lakini haitaki vita wala mzozo wa kijeshi na NATO.
-
Kiongozi wa Kijeshi wa Madagascar alihutubia taifa kwa mara ya kwanza
Nov 17, 2025 22:51Karibu mwezi mmoja baada ya kuapishwa kuwa "rais wa mpito" wa Madagascar, Michael Randrianirina kwa mara ya kwanza amelihutubia taifa akiwa na shauku na hamasa kubwa na kutoa ahadi nyingi kwa wananchi.
-
Kushadidi ushindani wa silaha za nyuklia kati ya Marekani na Russia na mustakbali wa mkataba wa New START
Nov 17, 2025 22:51Mvutano wa nyuklia kati ya Russia na Marekani umeongezeka kadiri muda wa mkataba wa nyuklia wa New START unavyokaribia kumalizika, na hivyo kuuweka mkataba huo katika mustakbali usiojulikana.