-
ElBaradei akosoa kimya cha serikali za Kiarabu kuhusu jinai za Wazayuni huko Gaza
Nov 01, 2025 11:06Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki amekosoa kwenye ukurasa wake wa kibinafsi kwenye Jukwaa la X (zamani Twitter) misimamo ya serikali za Kiarabu kuhusu faili la kesi dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Jinsi himaya isiyo na masharti ya Ujerumani kwa Israel inavyoakisi unafiki wa vigezo vya Magharibi vya haki za binadamu
Nov 01, 2025 08:59Msemaji wa harakati ya Hamas amekosoa kauli za Kansela wa Ujerumani Friedrich Mertz za kujaribu kutetea uhalifu na jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
-
Araqchi: Hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani
Nov 01, 2025 08:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hatuwezi kusimamisha urutubishaji urani na kwamba kile ambacho maadui hawakukipata kupitia vita hakiwezi kupatikana kwa njia ya kisiasa.
-
RSF yawatia mbaroni wanamgambo wake wanaotuhumiwa kufanya jinai el Fasher Sudan
Nov 01, 2025 08:11Vikosi vya Msaa wa Haraka RSF nchini Sudan vimetangaza kuwa vimewatia mbaroni wapiganaji wanaoshutumiwa kukiuka haki za binadamu na kufanya mauaji ya umati kwenye mji wa El-Fasher uliotekwa na kundi hilo hivi karibuni.
-
Mwito wa kiongozi wa upinzani wa mgomo wa nchi nzima Cameroon waitikiwa vizuri
Nov 01, 2025 08:11Mji wa Maroua ambao ni makao makuu ya jimbo la Kaskazini la Cameroon limesimamisha shughuli zote za kibiashara ikiwa ni kuitikia mwito wa kiongozi wa upinzani aliyetangaza mgomo wa biashara kwa watu wote.
-
Mshindi wa Tunzo ya Amani ya Nobel ataka Wamarekani wawashambulie raia wa Venezuela
Nov 01, 2025 08:10Chini ya mwezi mmoja baada ya kupokea Tunzo ya Amani ya Nobel ya mwaka huu, kiongozi wa upinzani wa Venezuela, Maria Corina Machado ambaye ni kibaraka wa Magharibi na muungaji mkono mkubwa wa jinai za Israel, sasa amewataka Wamarekani waishambulie kijeshi nchi yake.
-
Afrika Kusini yalaani mpango wa wakimbizi wa Marekani kwa mapungufu yake mengi
Nov 01, 2025 08:10Serikali ya Afrika Kusini imelezea kusikitishwa na mpango wa wakimbizi wa Marekani, ikiuelezea kuwa si sahihi ni upotoshaji na una mapungufu mengi.
-
Iran yatangaza uungaji mkono wake kwa mamlaka ya kujitawala Sudan
Nov 01, 2025 06:10Iran imesisitiza udharura wa kuendelea kuunga mkono uhuru, umoja wa ardhi na mamlaka ya kujitawala nchi ya Sudan huku vurugu kubwa zikiendelea kulitikisa taifa hilo la Afrika.
-
Israel yakiuka usitishaji vita, yaua Wapalestina 10 kila siku
Nov 01, 2025 04:27Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Mediterania lilitangaza siku ya Ijumaa katika ripoti yake kuwa, utawala wa Kizayuni umekuwa ukiwaua shahidi Wapalestina 10 kila siku tangu kuanza kwa usitishaji vita.
-
Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Samia ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 98 ya kura
Nov 01, 2025 03:57Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania imemtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais ulifanyika Oktoba 29 kwa asilimia 98 ya kura.