-
Ripoti ya Umoja wa Afrika: Tanzania yaongoza uchumi wa kanda, Kenya na Rwanda zikiachwa nyuma
Oct 29, 2025 05:39Uchumi wa Kenya umeendelea kusuasua ikilinganishwa na ule wa Tanzania katika eneo la Afrika Mashariki, hasa kutokana na utegemezi mkubwa wa mauzo ya bidhaa ghafi nje ya nchi jambo linalokwamisha ukuaji wa uchumi na kuongeza kiwango cha umaskini.
-
Wanajeshi 279 wa Israel wajaribu kujiua katika kipindi cha miezi 18 iliyopita
Oct 29, 2025 05:38Ripoti rasmi inaonyesha kuweko ongezeko la majaribio ya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.
-
Francesca Albanese: Mataifa zaidi ya 60 yamehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 29, 2025 04:03Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewafahamisha wajumbe wa Baraza Kuu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna serikali zaidi ya sitini, na hasa madola ya Magharibi na nchi kadhaa za Kiarabu, zimekuwa zikiiwezesha "mashine ya mauaji ya kimbari" ya utawala wa Israel huko Gaza.
-
Baqaei: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ajadili usalama wa mipaka na haki ya maji ziarani Afghanistan
Oct 29, 2025 04:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ameeleza kuwa Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amefanya ziara nchini Afghanistan ili kujadili masuala kadhaa ambayo yamesalia kwenye ajenda ya uhusiano kati ya nchi mbili, ikiwa ni pamoja na suala la usalama wa mipaka.
-
IOM: Zaidi ya raia 7,400 wamekimbia makazi yao huko El-Fasher, Sudan
Oct 29, 2025 04:01Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).
-
Mjumbe wa UN: Mchakato wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati 'umepiga hatua'
Oct 29, 2025 03:59Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ameeleza kuwa mchakato wa amani umepiga hatuua kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosainiwa mwezi Aprili hata hivyo ametahadharisha kuwa kupunguzwa kwa bajeti ijayo kunaweza kudhoofisha mchakato huo.
-
Serikali ya Madagascar yatangaza baraza la mawaziri
Oct 29, 2025 03:58Serikali ya Madagascar inayoongozwa na jeshi leo imetangaza baraza la mawaziri linalojumuisha idadi kubwa ya mawaziri wa kiraia.
-
Makamu wa Rais: Maadui wanapasa kujifikiria mara mbili kabla ya kuichokoza Iran
Oct 29, 2025 03:49"Tuna uhakika kwamba ikiwa maadui wana chembe ya sababu hawatathubutu kupanga shambulio jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran," amesema Jumanne hii Muhammad -Reza Aref Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yalaani mashambulizi dhidi ya raia katika jimbo la Darfur, Sudan
Oct 29, 2025 03:30Wizara ya Mambo ya Nje imeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, na kulaani mauaji ya raia na uharibifu wa miundombinu katika mji wa El-Fasher.
-
Watanzania leo wanamchagua Rais, Wabunge na madiwani
Oct 28, 2025 23:32Watanzania waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua Rais, Wabunge na madiwani katika uchaguzi uliosusiwa na chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA.