-
Velayati: Uhusiano wa Iran na China ni wa kimkakati na wa kina
Oct 27, 2025 06:52Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa wa kina uhusiano wa kihistoria na mzuri uliopo kati ya Iran na China na kusema: "Uhusiano wa nchi hizo mbili una wigo wa kistratejia na wenye mizizi mirefu."
-
Trump anataraji kuambulia nini katika safari yake ya Asia?
Oct 27, 2025 04:26Rais wa Marekani Donald Trump amewasili kwenye eneo la kusini-mashariki mwa Asia kwa ziara ya siku tano.
-
Iran: Hatua za mabavu zinazuia ushirikiano wa kimataifa katika kupambana na uhalifu
Oct 27, 2025 03:15Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Vahid Jalalzadeh ambaye alielekea Vietnam kwa lengo la kuhudhuria hafla ya utiaji saini Mkataba wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Uhalifu wa Mtandaoni, amehutubia katika hafla hiyo na kusema: Mkataba wa Uhalifu wa Mtandaoni ni hatua muhimu kuelekea upande wa kuanzisha mfumo wa kimataifa wa kupambana na uhalifu wa mtandao na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa.
-
Rais wa Namibia amfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Oct 27, 2025 03:05Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Namibia jana alimfukuza kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Natangwe Ithete.
-
Hamas yasisitiza haki ya Wapalestina ya kuwa na nchi huru; yasema imesitisha mapigano Gaza
Oct 27, 2025 02:58Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza dhamira isiyoyumba ya harakati hiyo ya kutekeleza usitishaji vita huko Gaza na kusema Wapalestina hawataki kitu chochote isipokuwa haki yao inayotambulika kimataifa ya kuwa na nchi huru.
-
Mgogoro wa mafuta nchini Mali wasababisha kufungwa shule kote nchini
Oct 27, 2025 02:51Mali imefunga shule nchini kote kwa muda wa wiki mbili kutokana na uhaba wa mafuta unaoendelea.
-
UNICEF: Mfumo wa elimu wa Gaza umeporomoka na kizazi kizima kiko karibu kuharibiwa
Oct 27, 2025 02:17Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeonya kwamba uharibifu unaoendelea ambao umeaosababishwa na vita vya Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina, ikiwa ni pamoja na uharibifu wa miundombinu ya elimu, umeweka mustakabali wa mamilioni ya watoto wa Kipalestina hatarini.
-
Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia
Oct 27, 2025 01:00Indonesia inachukulia marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo kuwa haki yake halali.
-
Kanali mstaafu wa jeshi la Marekani: Israel itaangamizwa ikiwa itaishambulia tena Iran
Oct 26, 2025 23:56Lawrence Wilkerson, kanali mstaafu wa jeshi la Marekani ametahadharisha kuhusu hatua yoyote ya Israel ya kuivuta Marekani katika vita na Iran na kusema kuwa Israel inaelewa vyema kwamba itaangamizwa ikiwa itaishambulia Iran bila ya kusaidiwa na upande wowote.
-
Kremlin: Jibu la Russia kwa shambulio lolote ndani ya ardhi yake litakuwa la maangamizi
Oct 26, 2025 23:50Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ameonya kwamba iwapo kutatokea shambulio lolote la Ukraine ndani kabisa ya eneo la Russia, vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitatoa jibu la maangamizi.