-
Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM azindua kampeni za uchaguzi +SAUTI
Sep 12, 2020 12:34Chama cha Mapinduzi CCM visiwani Zanzibar kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi tayari kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuufanyika kote Tanzania mwezi ujao wa Oktoba.
-
Sherehe za harusi zaruhusiwa Rwanda, lakini...
Sep 07, 2020 11:10Wizara ya serikali za mitaa nchini Rwanda imetangaza masharti mapya kwa watu wanaojiandaa kufunga pingu za maisha kwa kuwataka watu watakaohudhuria harusi zao wawe wamepima corona kwa muda wa saa 72 zilizopita kabla ya harusi yenyewe. Hata hivyo gharaza upimaji zitakuwa dola 50 kwa kila mtu mmoja kitu ambacho wananchi wamekilalamikia. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso yashtakiwa nchini Ufaransa +SAUTI
Aug 24, 2020 11:57Mpinzani wa serikali ya Rais Denis Sassou Nguesso wa Jamhuri ya Congo Brazzaville ameishtaki serikali ya nchi hiyo katika mahakama moja nchini Ufaransa kwa kile alichokieleza kuwa, njama za serikali hiyo za kutaka kumuua akiwa uhamishoni.
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kutoa ruzuku kwa usawa kwa vyama vya upinzani +SAUTI
Aug 24, 2020 11:52Serikali ya Uganda imetakiwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya vyama vya upinzani kama msingi imara wa kuthibitisha demokrasia katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI
Aug 21, 2020 11:18Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.
-
Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI
Jul 28, 2020 12:37Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo.
-
Francois Bozize kugombea Urais Jamhuri ya Afrika ya Kati +SAUTI
Jul 26, 2020 12:29Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba licha ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa na kutolewa waranti dhidi yake wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu.
-
Bobi Wine azindua chama chake kipya cha kisiasa nchini Uganda +SAUTI
Jul 24, 2020 10:31Kiongozi machachari wa upinzani nchini Uganda, Mbunge Bobi Wine amewataka vijana kuwajibika kwa taifa lao na kutokubali kubakia nyuma katika utendaji na uchapaji kazi.
-
Masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali Uganda yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti corona yamelegezwa+Sauti
Jul 23, 2020 00:32Serikali ya Uganda imelegeza masharti ya uendeshaji shughuli mbalimbali nchini humo yaliyokuwa yamewekwa kwa ajili ya kudhibiti maambukizo ya virusi vya Corona
-
Binti wa hayati Patrice Lumumba, ataka mabaki ya mwili wa baba yake yarejeshwe DRC+Sauti
Jul 22, 2020 14:13Juliana Amato Lumumba, binti wa waziri mkuu wa zamani wa Kongo hayati Patrice Emery Lumumba, amemwandikia barua mfalme Philippe wa Ubelgiji ya kumtaka ajitwishe mzigo wa kurejesha mabaki ya mwili wa hayati baba yake