-
SAUTI, Wakazi wa mji wa Obo nchini CAR waishi kwa wasi wasi mkubwa kutokana na mashambulizi ya magaidi wa Kikristo
Apr 10, 2019 12:26Hali ya usalama katika mji wa Obo ulioko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati imezidi kuwa mbaya kufuatia waasi wa kundi la kigaidi la Lord's Resistance Army (LRA) kuvamia mji huo na kufanya jinai ikiwemo kuiba vyakula vya wakazi wake.
-
Iran yatangaza wanajeshi wa Marekani waliopo Asia Magharibi ni magaidi + Video
Apr 08, 2019 10:54Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa kikosi cha Marekani kilichopo katika eneo la Asia Magharibi (Centcom) na askari wote walioko chini ya komandi hiyo ya kijeshi ya Marekani ni kundi la kigaidi.
-
Hotuba ya Rais Kenyatta wa Kenya Bungeni yashindwa kutimiza matumaini ya wananchi + Sauti
Apr 05, 2019 01:51Hatimaye botuba ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na raia wengi wa nchi hiyo imetolewa ingawa haikutimiza matakwa ya wananchi wengi. Sifullah Murtadha na maelezo zaidi
-
Wasomi Tanzania: Bunge limewasaliti wananchi kwa kutoshirikiana na CAG
Apr 03, 2019 11:47Baada ya Bunge kuazimia kutoshirikiana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Tumaini jijini Dar es salaam (TUDARCO) Danford Kitwana amesema kitendo hicho cha bunge ni kuwasaliti wananchi wake.
-
Mgogoro wa chakula kuwaathiri mamilioni ya watu mwaka huu duniani, Yemen yaongoza + Video
Apr 03, 2019 02:11Wanasayansi wametahadharisha kuwa, mgogoro wa chakula utawaathiri makumi ya mamilioni ya watu duniani mwaka huu wa 2019 huku vita, majanga ya kimaumbile hasa yatokanayo na hali mbaya ya hewa na migogoro wa kiuchumi ikiwaweka zaidi ya watu milioni 113 katika mahitaji makubwa ya misaada ya kibinadamu mwaka jana.
-
SAUTI, Rais Mstaafu wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete, aipongeza Shia Ithna Asharia JAMAT kwa kupambana na maradhi ya Usonji
Mar 31, 2019 11:28Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne nchini Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza mamia ya Watanzania katika matembezi ya kuadhimisha siku ya utokomezaji wa maradhi ya usonji duniani jijini Dar es Salaam.
-
Matukio ya ulimwengu wa Kiislamu na Harith Subeit + Sauti
Mar 29, 2019 21:44Wiki hii kama ilivyojiri kwa wiki zilizopita, kumekuwa na matukio mengi yanayohusiana na Waislamu wa Afrika Mashariki. Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti ifuatayo...
-
BBC yapigwa marufuku nchini Burundi + Sauti
Mar 29, 2019 21:35Bodi ya Uandishi wa Habari nchini Burundi imevunja mkataba wake na Shirika la Utanganzaji la Ufalme wa Uingereza BBC, huku shirika la utangazaji la Marekani VOA nalo likiendelea kusimamishwa kwa muda. Burundi inayatuhumu mashirika hayo ya utangazaji kuwa yanakiuka sheria za uandishi nchini humo. Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
-
Bunge nchini Uganda lapasisha bajeti ya kununua ndege ya taifa + Sauti
Mar 29, 2019 21:35Bunge nchini Uganda limepasisha bajeti ya nyongeza ya shilingi bilioni 280 za nchi hiyo kwa ajili ya kununua ndege za taifa ili kulifufua shirika la ndege la nchi hiyo. Kwa maelezo zaidi tunajiunga na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
Imam wa zamani wa Masjidul Haram abadilisha msimamo, asema alikosea kuwaita Mashia makafiri + Video
Mar 24, 2019 19:45Adil al Kalbani, imam wa zamani wa Msikiti wa Makka (Masjudul Haram) amebadilisha msimamo wake kuhusiana na Waislamu wa Kishia.