-
Rais Rouhani azuru nyumba ya Imam Khomeini MA mjini Najaf Iraq + Video
Mar 13, 2019 12:07Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo jioni ametembelea eneo la kihistoria na kiutamaduni ambalo ni nyumba ya kihistoria ya Imam Khomeini MA mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Najaf Iraq na kukumbuka siku ambazo Imam Khomeini aliishi kwa mashaka katika nyumba hiyo baada ya mfalme wa Iran kumbaidishia Iraq mwanachuoni huyo mwanamapambano.
-
Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti
Mar 10, 2019 13:11Raia 32 wa Kenya ni miongoni mwa abiria 149 na wahudumu wanane, waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege iliyotokea mapema leo nchini Ethiopia.
-
Tanzania ingali inashuhudia mfumko wa bei za bidhaa+SAUTI
Mar 10, 2019 13:06Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Tanzania, Ephraim Kwesigabo amesema kuwa mfumuko wa bei nchini humo kwa mwaka ulioishia mwezi Februari 2019 umebaki kuwa asilimia 3 kama ilivyokuwa mwaka ulioisha.
-
EAC yataka viongozi wa nchi wawafikie wananchi wa mashinani +Sauti
Mar 09, 2019 06:57Wanasiasa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametaka wananchi wa mashinani wa nchi za jumuiya hiyo wafikiwe na maamuzi makuu ili thamani yao iweze kulindwa. Mwandishi wetu wa Kampala, Uganda na taarifa zaidi...
-
Mwenyekiti wa Chadema alipoachiliwa huru kwa dhamana Tanzania + Sauti
Mar 07, 2019 15:28Nchini Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini humo cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe, pamoja na Mbunge Esta Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam, na kutakiwa kuripoti mahakamani kwa mwezi mara moja. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam Amar Dachi
-
Burundi yafunga ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo + Sauti
Mar 05, 2019 23:09Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imefunga ofisi yake nchini Burundi kufuatia agizo la serikali ya Bujumbura la kufanya hivyo mara moja. Burundi imekuwa ikisuguana na ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2015 baada ya kuripuka mzozo wa kisiasa nchini humo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...
-
SAUTI, Uganda yashangazwa na hatua ya Rwanda kuendelea kufunga mipaka yake, Kigali yasema haijafunga
Mar 04, 2019 13:47Hali ya suitafahamu imeendelea kutawala kati ya Rwanda na Uganda kufuatia hatua ya serikali ya Kigali kuendelea kufunga mipaka yake.
-
SAUTI: Ofisi ya Mufti Zanzibar yatakiwa kuzisaidia madra na misikiti, Waislamu waondoe hitilafu zao na umuhimu wa Waislamu kuwa na mali
Mar 01, 2019 13:43Ofisi ya Mufti wa Zanzibar, imetakiwa kuzisaidia madrasa zote visiwani humo ili kukabiliana na uhaba wa fedha za uendeshaji.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa Misri kwa ajali mbaya ya treni iliyoua na kujeruhiwa watu 75 + Video
Feb 27, 2019 13:14Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pole kwa taifa la Misri kufuatia ajali mbaya ya treni iliyotokea mjini Cairo na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 25 na kujeruhi wengine 50.
-
SAUTI, Sheikh Hemed Jalala: Uislamu ndio umemuinua na kumtukuza mwanamke na kamwe haujamuacha nyuma hata kidogo
Feb 27, 2019 12:52Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) cha jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala amesema kuwa dini ya Kiislamu haijamtenga wala kumuacha nyuma kwa namna yoyote mwanamke na kwamba ni dini hiyo ndio imempa hadhi kiumbe huyo baada ya kuwa alikuwa duni katika jamii.