-
Kwa nini utawala wa Kizayuni ni utawala wa mauaji ya kizazi?
May 15, 2025 22:46Sisitizo la Israel la kuendeleza vita Gaza katika mwezi wake wa ishirini na kuendelea kuwaua kwa umati wakazi wa ukanda huo hususan wanawake na watoto si tu kwamba kumeibua mijadala ya upinzani na kulaaniwa kimataifa kitendo hicho, bali hata nchi za Ulaya zimekuwa zikiukosoa utawala huo ghasibu kwa hatua zake hizo za kikatili.
-
Israel yafanya mauaji mengine ya kutisha Gaza, yaua zaidi ya 103 leo Alkhamisi
May 15, 2025 08:11Idadi ya Wapalestina waliouawa katika mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Alhamisi ya leo mepindukia 103. Utawala vamizi wa Israel umezidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya watu wa Gaza, sanjari na ziara ya sasa Rais wa Marekani, Donald Trump, Mashariki ya Kati iliyoanza Jumanne iliyopita.
-
HAMAS: Jinai za Netanyahu dhidi ya Wapalestina hazitamletea ushindi
May 15, 2025 04:08Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mashambulizi dhidi ya nyumba za makazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza yanadhihirisha sisitizo la utawala ghasibu wa Israel kuhusu mauaji ya kimbari ya watu wasio na ulinzi.
-
Araghchi: Matamshi ya Trump juu ya Iran huko Riyadh ni ya "udanganyifu"
May 14, 2025 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amepuuzilia mbali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu ustawi na maendeleo ya Iran kuwa ya "udanganyifu" akiashiria vikwazo vya Washington dhidi ya nchi hii kwa zaidi ya miongo minne.
-
Mfalme wa Bahrain: Kufanikiwa mazungumzo ya Washington-Tehran ndio ufunguo wa utulivu
May 14, 2025 23:38Mfalme wa Bahrain, Sheikh Hamad bin Isa Al-Khalifa amesema kuwa, mafanikio ya mazungumzo yanayoendelea kati ya Marekani na Iran yataongeza utulivu wa kikanda na kimataifa.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 08:35Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Shambulio la 3 la kombora la hypersonic la Yemen dhidi ya Ben Gurion
May 14, 2025 08:01Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen wamefanya shambulio jipya la kombora la hypersonic dhidi ya utawala haramu wa Israel na kupelekea sauti za ving'ora vya tahadhari kuhanikiza katika sehemu ya kaskazini ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo pandikizi.
-
Jihad Islami: Tunakaribisha mapendekezo kwa ajili ya usitishaji vita wa haraka
May 14, 2025 03:21Msemaji wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza kuwa wanakaribisha mapendekezo yote yatakayopelekea kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo.
-
Yair Golan: Vita vya Gaza lazima visitishwe haraka iwezekanavyo
May 14, 2025 03:00Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yailaani Israel kwa kumuua mwandishi mashuhuri wa habari Gaza
May 13, 2025 08:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kumuua mwandishi habari maarufu na mwenye ushawishi mkubwa wa Kipalestina na kuyataka mauaji hayo kuwa ya kinyama. Hamas imesema mauaji hayo ni sehemu ya kampeni ya Israel kunyamazisha vyanzo vya ukweli.