-
Mapigano ya silaha yazuka kati ya wanamgambo wa Al-Joulani, wawania mamlaka ya kuendesha miji ya Syria
Jan 15, 2025 23:07Duru za Syria zimeripoti kuwa yamezuka mapigano ya silaha kati ya wanamgambo wenye mfungamano na Al-Joulani, kamanda wa kundi la wabeba silaha la Hay-at Tahrir al-Sham.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Iran ilikuwa Syria kwa ombi la serikali ya Assad kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Jan 15, 2025 23:07Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammed Shia' al-Sudani amesema Iran ilikuwa nchini Syria kutokana na ombi rasmi la serikali ya Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa lengo la kuisaidia nchi hiyo ya Kiarabu katika vita dhidi ya ugaidi.
-
TV ya Marekani yaonyesha mabaki ya silaha za nchi hiyo Ghaza zinazotumika katika mauaji ya kimbari
Jan 15, 2025 08:07Kanda za video zilizorushwa hewani na chaneli kubwa ya televisheni ya Marekani ya CBS zimefichua kuwepo kwa silaha nyingi ambazo serikali ya Washington imeupatia utawala wa Kizayuni wa Israel uzitumie katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina unayofanya katika Ukanda wa Ghaza, suala ambalo limekabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa kwenye mitandao ya kijamii.
-
Utawala wa Kizayuni waendeleza jinai zake Gaza, Wapalestina wengine 22 wauawa shahidi
Jan 15, 2025 04:15Wapalestina 22 wengine wameuawa shahidi katika hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni.
-
Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora
Jan 15, 2025 04:10Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni mbili za ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya shahaba zilizokusudiwa huko Tel Aviv na katika bandari ya Eilat katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mwanahistoria Ilan Pappe: Hii ni awamu ya mwisho ya Uzayuni, ni Uzayuni-mamboleo wa kikatili zaidi
Jan 14, 2025 23:15Mwanahistoria mtajika Ilan Pappe ambaye ametumia muda mwingi kupigania haki za Wapalestina amesema, hali ya sasa ya utawala haramu wa Israel ni ya Uzayuni-mamboleo unaolenga kufanikisha malengo ya Uzayuni mkongwe kwa njia za nguvu zaidi na kwa muda mfupi zaidi.
-
Askari wa Israel wajuta na kukiri hadharani kuwa walishiriki katika jinai za kivita Ghaza
Jan 14, 2025 23:14Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel walioshiriki katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wamesema wanajuta kwa unyama waliofanya katika eneo hilo na hawapati utulivu wanapoyakumbuka mambo waliyoyashuhudia kwa macho yao yakifanywa na askari wenzao.
-
Kushadidi mvutano baina ya Pakistan na Taliban kuhusu chimbuko la ugaidi
Jan 14, 2025 23:04Anga ya mzozo na mvutano kati ya Pakistan na kundi la wanamgambo wa Taliban linalotawala nchini Afghanistan inachukua wigo mpana zaidi.
-
Kusitisha mapigano ni sawa na kukubali kushindwa Israel na Marekani huko Ghaza
Jan 14, 2025 05:45Wataalamu wengi wanaamini kwamba, kukubali kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza na kufikia makubaliano na HAMAS ni sawa na kushindwa Israel na Marekani.
-
Yemen: Tumeitwanga kwa kombora wizara ya vita ya Israel
Jan 14, 2025 05:44Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limeilenga Wizara ya Vita ya Israel na kuitwanga kwa kombora la balestiki.