-
Rais wa Marekani aunga mkono kutimuliwa uongozini Benjamn Netanyahu
Mar 16, 2024 07:47Rais wa Marekani amempongeza kiongozi wa viti vingi katika Baraza la Sanate la nchi hiyo kutokana na mwito wake wa kutaka kutimuliwa madarakani Benjamin Netanyahu na kuitishwa uchaguzi wa kabla yake ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Watoto wa Gaza; wahanga wakuu wa jinai za utawala wa Kizayuni
Mar 16, 2024 07:46Kuchapishwa picha za vifo vya kutisha vya watoto wa Ukanda wa Gaza kutokana na njaa kwa mara nyingine tena kumepelekea kupuuziliwa mbali madai ya haki za binadamu yanayotolewa na nchi za Magharibi.
-
Yemen yashambulia meli za Marekani na Israel katika Bahari ya Hindi
Mar 16, 2024 04:08Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza habari ya kupanua operesheni zao kwa kuzishambulia meli za Marekani na utawala haramu wa Israel katika maji ya Bahari ya Hindi.
-
Jihadul Islami: US na Isreal zinafuatilia malengo sawa Gaza
Mar 16, 2024 03:50Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema pamoja na unafiki na hadaa za Marekani, lakini dola hilo la kiistikbari linafuatilia malengo yanayoshabihiana na ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Itachukua miaka kuondoa tani milioni 23 za vifusi Gaza
Mar 16, 2024 00:52Vita vya mauaji ya kimbari vya utawala wa Kizayuni wa Israeli dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza hadi sasa vimeacha takribani tani milioni 23 za vifusi na silaha ambazo hazikulipuka katika eneo hilo. Hayo yamedokezwa Ijumaa na wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.
-
OIC: Quds ni sehemu isiyoweza kutenganishwa ya Palestina
Mar 15, 2024 22:54Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, mji wa Quds ni sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Palestina na mji mkuu wa Dola ya Palestina, na eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa ni makhsusi kwa ajili ya ibada ya Waislamu tu.
-
Borrell: Israel inafanya mauaji ya halaiki dhidi ya watu wa Gaza
Mar 15, 2024 22:53Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ambaye katika siku za hivi karibuni ameutuhumu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa unatumia "njaa kama silaha" katika vita vya Gaza, ameonya kuwa utawala huo unawaua watu wa Gaza kwa umati.
-
Mashambulio pacha ya jeshi la Kizayuni yaua Wapalestina 29 waliokuwa wakingojea msaada wa chakula Ghaza
Mar 15, 2024 04:27Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 29 wakati wakisubiri msaada katika mashambulizi mawili tofauti lililofanywa dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliozingirwa.
-
Ansarullah: Operesheni za kushambulia meli zenye uhusiano na Israel zitapanuliwa hadi Bahari ya Hindi
Mar 15, 2024 04:11Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul Malik Al-Houthi amesema askari wa jeshi la nchi hiyo wataendelea na operesheni zao za kujibu mapigo dhidi ya meli za kibiashara zenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuzizuia meli hizo kupita hata kwenye eneo la maji ya Bahari ya Hindi na Rasi ya Tumaini Jema.
-
Abbas amkabidhi Mohammed Mustafa jukumu la kuunda Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina
Mar 14, 2024 23:49Rais Mahmoud Abbas wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amemteua Mohammed Mustafa kuwa Waziri Mkuu mpya na kumkabidhi jukumu la kuunda baraza jipya la mawaziri la serikali hiyo.