-
Hizbullah ina uwezo wa kuipiga Israel kwa makombora 7,500 angamizi
Nov 08, 2025 23:10Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ambayo ina viongozi wapya na kwa kiasi kikubwa viongozi wake hivi sasa ni vijana, imefanikiwa kurejesha nguvu zake na kama Israel itafanya kosa lolote la kipumbavu, basi Hizbullah ina uwezo wa kuitwanga kwa makombora 7,500 angamizi.
-
Israel yaendelea kukanyaga makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Nov 08, 2025 23:09Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kukanyaga makubaliano ya kusimamisha vita Ghaza na umefanya mashambulizi mapya dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa ukanda huo iliouzingira kila upande.
-
Ehud Barak: Utawala wa Israel umo katika hatari ya kusambaratika kabisa
Nov 08, 2025 06:58Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ehud Barak ameonya katika matamshi kuwa utawala wa Israel unaporomoka mbele ya macho ya Wazayuni.
-
Nabih Berri: Haiwezekani kwa Lebanon kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 08, 2025 06:55Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
-
UN: Mashambulizi ya walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi yamefikia kiwango cha juu zaidi
Nov 08, 2025 04:27Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba walowezi wa Israel wamefanya mashambulizi yasiyopungua 264 dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu mwezi uliopita wa Oktoba, ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya kila mwezi tangu maafisa wa Umoja wa Mataifa walipoanza kufuatilia mashambulizi kama hayo mwaka 2006.
-
Je, Gaza itaweza kuepuka mzunguko wa kudumu wa mgogoro bila kufanyika ukarabati wa kimuundo?
Nov 07, 2025 09:02UNICEF kwa mara nyingine tena imetahadharisha kuhusu kuzidi kuwa mbaya mgogoro wa kibinadamu huko Gaza na kusema kuwa zaidi ya watoto milioni moja katika ukanda huo bado wanakabiliwa na ukosefu mkubwa wa maji na chakula, na kuwa wengi hulala njaa kila usiku licha ya kusitishwa mapigano.
-
Iran, Mhimili wa Muqawama zalaani ushadidishaji 'hatari' wa mashambulio ya Israel ndani ya Lebanon
Nov 07, 2025 08:06Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi za kikanda kuhusu wajibu wao wa kukabiliana na uchochezi wa vita wa Tel Aviv, kwa kuuwajibisha na kuuadhibu utawala huo ghasibu.
-
UN: Israel imekataa maombi zaidi ya 100 ya kuingiza misaada Ghaza tangu vita viliposimamishwa
Nov 07, 2025 06:47Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, tangu yalipoanza kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita tarehe 10 Oktoba, utawala wa kizayuni wa Israel umekataa maombi 107 ya kuingizwa vifaa vya misaada katika Ukanda wa Ghaza, na hivyo kuzuia vifaa muhimu vya kibinadamu kuwafikia Wapalestina wa eneo hilo wanaoishi katika mazingira magumu na ya mateso.
-
Jordan yalaani ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni Ukingo wa Magharibi
Nov 07, 2025 03:57Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jordan imetangaza kuwa, inalaani vikali uamuzi wa hivi karibuni wa utawala ghasibu wa Israel wa kutangaza zabuni ya ujenzi wa vitongoji vipya 356 vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Wanawake 400 wa Kipalestina na watoto wangali wanashikiliwa mateka na Israel
Nov 07, 2025 03:56Mashirika matatu ya Kipalestina yanayohusiana na masuala ya mateka yametangaza kuwa, utawala ghasibu wa Israel unawashikilia Wapalestina 9,250 wakiwemo wanawake 49 na watoto 350 katika jela zake.