-
Tathmini ya uchaguzi wa Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
May 20, 2022 04:38Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, juzi usiku alitoa hutuba akibainisha tathmini yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa hivi karibu wa bunge la nchi hiyo.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yaionya Israel kwa hujuma zake dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
May 19, 2022 20:51Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na matokeo mabaya ya vitendo vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kufanya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na kambi ya wakimbizi ya Jenin.
-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 19, 2022 20:50Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Nasrullah: Uchaguzi wa Lebanon umethibitisha kuwa mapenzi ya watu kwa Muqawama yanaongezeka
May 19, 2022 08:14Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amewashukuru na kuwapongeza watu wote walioshiriki katika uchaguzi wa bunge uliofanyika hivi karibuni na akasema ushiriki mkubwa wa Walebanon katika uchaguzi huo na matokeo yake yamefikisha ujumbe wa uungaji mkono kwa Muqawama na silaha zake.
-
Syria: Kuwepo haramu na kinyume cha sheria kwa Marekani katika ardhi yetu kunakaribia ukingoni
May 19, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwepo haramu na kinyume cha sheria kwa Marekani mashariki ya nchi hiyo kunakaribia ukingoni.
-
Sultan Haitham atoa amri ya kifalme ya kuimarishwa ushirikiano wa baharini wa Oman na Iran
May 19, 2022 02:41Sultan Haitham bin Tariq wa Oman ametoa amri ya kifalme ya kupasisha makubaliano ya ushirikiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa uchukuzi na usafiri wa baharini.
-
Makundi ya Palestina yapongeza kufanyika kwa amani uchaguzi wa Lebanon
May 19, 2022 02:41Wakuu wa makundi mbalimbali ya Palestina wametoa tamko la pamoja na kulipongeza taifa la Lebanon kwa kufanya uchaguzi kwa amani na wameliombea taifa hilo ustawi na maendeleo.
-
Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa
May 18, 2022 03:17Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.
-
Saudia: Tuna hamu ya kuzungumza na Iran kuhusu kisima cha gesi cha Arash
May 17, 2022 03:14Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia amesema kuwa nchi yake na Kuwait zina hamu ya kuzungumza na Iran kuhusu kisima cha gesi cha Arash au al Durra.
-
Amir Abdollahian: Uhusiano mzuri baina ya majirani unawakatisha tamaa maadui katika eneo
May 17, 2022 02:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mazungumzo kati yake na Rais mpya wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), na kueleza kuwa uhusiano mwema kati ya nchi jirani ni sababu ya kuvunjika moyo maadui katika eneo.