-
Zaidi ya nusu ya wanawake nchini Morocco wanakabiliwa na ukatili
May 16, 2019 06:31Uchunguzi rasmi uliotangazwa nchini Morocco unaonyesha kwamba, zaidi ya nusu ya wanawake wa nchi hiyo wanakumbwa na ukatili dhidi yao.
-
Tanzania yatakiwa kuangalia upya sheria zinazokandamiza wanawake
Mar 08, 2019 07:58Huku Tanzania ikijiunga na nchi nyingine duniani katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake inayoadhimishwa hii leo, serikali ya Dar es Salaam imetakiwa kuangalia upya sera na sheria zinazohusu wanawake ili kuimarisha ustawi wao.
-
Wanawake Wapalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel wanadhalilishwa kijinsia na kuteswa
Nov 29, 2018 03:09Wanawake Wapalestina ambao wameingizwa hivi karibuni katika jela ya utawala haramu wa Kizayuni ya Hasharon, katika eneo la Al-Damun, wamesema kwamba wanakabiliwa na mateso makubwa na kutusiwa huku haki yao ya kupatiwa huduma za kiafya ikipuuzwa na utawala huo.
-
Dakta Mukwege wa Kongo DR ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel
Oct 05, 2018 15:44Denis Mukwege, daktari bingwa wa upasuaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pamoja na mwanaharakati wa Iraq, Nadia Murad wametangazwa washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka huu 2018.
-
Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji
Sep 10, 2018 04:10Takwimu zinaonesha kuwa, karibu asilimia 76 ya wanawake Waislamu nchini Ubelgiji walishambuliwa na magenge ya watu wanaopinga Uislamu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2017.
-
Wazayuni wawapiga na kuwatukana wanawake wa Palestina
Aug 21, 2018 07:36Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga na kuwashambulia kwa maneno wanawake kadhaa wa Kipalestina.
-
Wanajeshi wa Israel wawapiga wanawake wa Kipalesatina na kuwavua hijabu zao
Jul 05, 2018 07:52Wanajeshi wa Israel wametenda jinai nyingine baada ya kuwapiga, kuwadhalilisha na kuwavua hijabu wanawake wa Kipalestina katika kijiji cha Khan al-Ahmar mashariki mwa mji wa Quds.
-
Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa
Jun 27, 2018 13:45Serikali ya Uswisi imepinga kampeni zinazofanyika mashinani za kushinikiza marufuku ya nchi nzima ya vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Seneti ya Uholanzi yapiga marufuku vazi la burqa
Jun 26, 2018 15:51Bunge la Seneti la Uholanzi limepasisha muswada wa sheria inayopiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake umekita mizizi katika sekta za elimu nchini Marekani
Jun 14, 2018 02:23Matokeo mapya kabisa ya uchunguzi yanaonyesha kwamba, nusu ya wanawake wanaofanya kazi katika sekta za elimu na teknolojia nchini Marekani, wako katika hatari kubwa ya kubakwa na kudhalilishwa kijinsia.