-
Wanawake Waislamu Denmark wapigwa marufuku kuvaa niqabu
Jun 01, 2018 00:52Serikali ya Denmark imepiga marufuku vazi la burqa au niqabu linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Amnesty na HRW zaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati 7 wanawake
May 20, 2018 07:17Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yameutaka utawala wa Aal-Saud uwaachie huru wanaharakati saba wa kike walioongoza kampeni za kutaka kuruhusiwa wanawake kuendesha magari nchini Saudi Arabia.
-
Saudia yawakamata wanaharakati waliopigania haki ya wanawake kuendesha gari nchini humo
May 18, 2018 14:46Utawala wa Aal-Saud umewatia mbaroni wanaharakati kadhaa wengi wao wakiwa wa kike, walioongoza kampeni za kutaka kuruhusiwa wanawake kuendesha magari nchini Saudi Arabia.
-
Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden
Apr 19, 2018 07:51Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR yameripoti kuwa wanawake wahajiri wa Kiafrika wanakashifiwa na kudhalilishwa kingono katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.
-
Al Wifaq yasisitiza kuachiwa huru wanawake wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa
Apr 12, 2018 07:17Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya nchini Bahrain imetaka kuachiwa huru wanawake waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa ambao walitiwa mbaroni kwa sababu tu ya kuwasilisha maoni na fikra zao.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kuwepo Iran katika eneo hili hakuipendezi hata kidogo Marekani
Mar 09, 2018 06:25Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha wazi kwamba taifa la Iran liko tayari muda wote kumpigisha magoti adui yake na kusisitiza kuwa, uwepo wa Iran katika eneo hili hauihusu kivyovyote vile Marekani.
-
Museveni: Wanaume wanaowapiga wake zao ni wapumbavu
Mar 08, 2018 16:25Nchi za Afrika zimejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, huku Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwataja kama wapumbavu, wanaume wanaowapiga wake zao.
-
Ripoti: Israel imewateka nyara wanawake 15,000 wa Kipalestina
Mar 07, 2018 14:15Huku dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hapo kesho, ripoti mpya ya shirika moja la Palestina inaonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni wanawake wasiopungua 15,000 wa Kipalestina tokea mwaka 1967 hadi sasa.
-
Al Shabab inawatumia wanawake kama majasusi katika eneo la Pwani Kenya
Dec 19, 2017 08:12Imebainika kuwa wanamgambo wa kundi la al Shabab lenye makao yake nchini Somalia wanatumia mbinu mpya kushambulia kambi za usalama katika maeneo yaliyoainishwa katika oparesheni ya usalama inayoendelea kufanywa na mawakala kadha wa usalama kwa jina la "Linda Boni" huko katika kaunti za Lamu, Tana River na Garissa.
-
HRW: Polisi wa Kenya waliwabaka wanawake wakati wa uchaguzi
Dec 14, 2017 15:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya wanawake walibakwa na maafisa wa polisi wakati wa msimu wa uchaguzi mkuu mwaka huu nchini Kenya.