-
Reuters: Hitilafu zanatikisa White House; Trump anatafuta njia ya kujinasua katika kinamasi cha vita na Iran
Mar 13, 2026 07:55Shirika la habari la Reuters limemnukuu mmoja wa washauri wa Rais wa Marekani akisema kuwa hitilafu kubwa zimepamba moto ndani ya Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, kuhusu mwelekeo wa vita vya sasa na Iran.
-
Wasomi na watu mashuhuri walaani mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Mar 13, 2026 04:09Wasomi na watu mashuhuri kutoka maeneo mbalimbali ya dunia wamelaani mashambulizi na jinai zinazofanywa na Marekani na Israel dhidi ya watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Russia: Iran ina haki ya kujitetea mbele ya mashambulizi ya Marekani, Israel
Mar 13, 2026 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki ya kujitetea na kukabiliana na hujuma za Marekani na Israel na ametoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya Marekani na Israel na kurejea kwenye meza ya mazungumzo.
-
Baqaei: Israel imeiburuta Marekani kwenye vita na Iran, Wamarekani wanapaswa kulijua hili
Mar 13, 2026 03:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema wananchi wa Marekani wanapaswa kujua kwamba utawala haramu wa Israel umeiburuta Marekani na kuitumbukiza kwenye vita na Iran.
-
Seneta wa Marekani: Serikali ya Trump imesema uongo kuhusu shambulio dhidi ya shule ya Iran
Mar 12, 2026 04:35Seneta wa Marekani amekosoa uongo wa kukaririwa wa serikali na jeshi la nchi hiyo na kusema serikali imetudanganya kuhusu shambulizi lililolenga shule ya watoto wadogo nchini Iran.
-
Korea Kaskazini yampongeza Ayatullah Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 11, 2026 23:20Korea Kaskazini imepongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Seneta wa Marekani akiri: Hatutafikia malengo yetu yoyote katika vita na Iran
Mar 11, 2026 09:33Chris Murphy, Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani, kufuatia kikao cha faragha na maafisa wa utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uvamizi wa kijeshi dhidi ya Iran, amekosoa mtazamo wa utawala huo na kusema: "Hatutafikia malengo yoyote tuliyotangaza katika vita dhidi ya Iran."
-
Mufti Mkuu wa Russia ampongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei
Mar 11, 2026 08:38Mufti Mkuu wa Russia ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Shirikisho la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi Mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Medvedev: Mashambulizi dhidi ya Iran ni uchokozi unaokiuka misingi ya uungwana
Mar 11, 2026 04:54Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia ametuma ujumbe akimpongeza Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei na kusema kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya ardhi ya Iran ni uchokozi unaokiuka misingi ya uungwana na wala hayawezi kuhalalishwa kwa njia yoyote.
-
Uhispania: Kamisheni ya Ulaya itetee sheria za kimataifa/ Wallace: Muungano wa Epstein unalenga raia nchini Iran
Mar 10, 2026 10:24Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania amekosoa vikali matamshi ya Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya, Ursula von der Leyen, kuhusu utaratibu wa kimataifa na kuunga mkono vita vya uvamizi dhidi ya Iran.