-
Ijumaa, Disemba 28, 2018
Dec 28, 2018 02:58Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Saba Rabiuthani 1440 Hijria sawa na Disemba 28 Disemba 2018 Milaadia.
-
Ugaidi na kukaririwa njama zilizofeli za waungaji mkono ugaidi
Dec 07, 2018 12:20Nchi za Magharibi na baadhi ya tawala za kiimla na vibaraka wao katika eneo la Mashariki ya Kati tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran zimekuwa zikiyaunga mkono na kuyasaidia makundi ya kigaidi kwa shabaha ya kutoa pigo kwa taifa la Iran.
-
Kufuatilia amani ni msingi wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo
Nov 11, 2018 09:23Karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ambayo leo itaangazia jitihada za Iran za kueneza amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati nukta ambayo ni moja ya sababu za kuendelea kuwa na nguvu Jamhuri ya Kiislamu. Makala hii inawajieni kwa munasaba wa maadhimisho ya miaka 40 tokea yapate ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika na tuliyokuandalieni.
-
Jumatatu, tarehe 5 Novemba, 2018
Nov 05, 2018 10:29Leo ni Jumatatu tarehe 26 Mfunguo Tano Safar 1440 Hijria, sawa na tarehe 5 Novemba, 2018.
-
Kiongozi Muadhamu: Fikisheni ujumbe wa kisiasa wa Hija kwa Waislamu
Oct 01, 2018 15:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu adhuhuri ya leo amekutana na kuzungumza na maafisa wanaosimamia ibada ya Hija wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Jannati: Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu
Sep 26, 2018 13:50Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu.
-
Jumatatu tarehe 24 Septemba 2018
Sep 24, 2018 08:53Leo ni Jumatatu tarehe 14 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 24, 2018.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 14:18Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Jul 09, 2018 14:07Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la tawala za kibeberu duniani ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 08:22Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.