-
Utawala wa Kizayuni waidhinisha ujenzi wa nyumba mpya za walowezi
Oct 25, 2017 12:01Baraza la Mawaziri wa utawala wa Kizayuni limeidhinisha kujengwa nyumba mpya kwa ajili ya walowezi wa Kizayuni katika ardhi walizoporwa Wapalestina kwenye mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Oct 22, 2017 11:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.
-
Alkhamisi 28 Septemba 2017
Sep 27, 2017 23:38Leo ni Alkhamisi 7 Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 28, 2017.
-
Mayahudi wa Orthodox waliokataa kujiunga na jeshi wapambana na askari wa Israel katika mji wa Quds
Sep 18, 2017 03:27Hatua ya mahkama kuu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuta msamaha uliokuwa unawaruhusu Mayahudi wa Orthodox kutohudumu jeshini, imelifanya kundi moja la Mayahudi hao kufanya maandamano na kuanza kupambana vikali na askari wa Israel katika mji wa Quds unaokaliwa na utawala huo khabithi.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Quds Tukufu wataka Waislamu wajitokeze kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa
Aug 28, 2017 23:53Wanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Quds wametoa wito kwa Waislamu Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa mjini humo.
-
Wazayuni wandelea kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 28, 2017 10:52Walowezi wa Kizayuni wameuvamia kwa mara nyingine tena Msikiti wa al Aqsa na kukivunjia heshima Kibla hicho cha Kwanza cha Waislamu.
-
Nguzo za msikiti mtukufu wa Al-Aqsa zinakaribia kuporomoka
Aug 22, 2017 11:00Taasisi ya Kimataifa ya Quds imetangaza kuwa nguzo za msingi wa msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu zinakaribia kuporomoka kutokana na mashimo na njia za chini ya ardhi zinazochimbwa kiholela na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HRW yatahadharisha kuhusu njama mpya za Israel katika Quds Tukufu
Aug 13, 2017 03:41Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetahadharisha kuhusu mipango na njama za muda mrefu zinazotekelezwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa madhumuni ya kuwahamisha wakaazi wote Wapalestina wa asili katika mji wa Baitul Muqaddas na kuuzayunisha mji huo.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia msikiti wa al-Aqswa
Aug 03, 2017 09:41Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo Alkhamisi wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu huko Baytul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Israel imepora nyaraka muhimu zaidi za msikiti wa al-Aqsa kipindi hiki
Jul 31, 2017 03:48Mkuu wa kituo cha kimataifa cha Quds amesema kuwa, hadi sasa nyaraka muhimu za idara ya waqfu wa Kiislamu mjini Qudsi zilizokuwa katika milango ya msikiti wa al-Aqsa zimeporwa kikamilifu na Wazayuni.