-
Jumanne tarehe 9 Februari 2021
Feb 09, 2021 04:11leo ni Jumanne tarehe 26 Jamadithani 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 9 Februari mwaka 2021.
-
Jumanne tarehe 24 Novemba 2020
Nov 24, 2020 02:25Leo ni Jumanne tarehe 8 Mfunguo Saba rRabiuthani 1442 Hijria sawa na Novemba 24 mwaka 2020.
-
Jumanne tarehe 3 Novemba 2020
Nov 03, 2020 02:41Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Novemba 2020.
-
Waislamu Waanza kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad na Wiki ya Umoja
Oct 29, 2020 02:55Leo tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya wanazuoni wa Kiislamu, inasadifia na siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw) na kuanza Wiki ya Umoja baina ya Waislamu.
-
Maomblezo ya kuaga dunia Mtume (saw) na kuuawa shahidi Imam Hassan (as)
Oct 16, 2020 07:22Taifa zima la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezama katika maombolezo ya kumbukumbu ya kuaga dunia Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) pamoja na kuuawa shahidi Imam Hassan Mujtaba (as), Imam wa pili wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Jumatano tarehe 12 Agosti mwaka 2020
Aug 12, 2020 02:32Leo ni Jumatano tarehe 22 Dhulhija 1441 Hijria inayosadifiana na Agosti 12 mwaka 2020.
-
Jumatano tarehe 5 Agosti mwaka 2020
Aug 05, 2020 02:37Leo ni Jumatano tarehe 15 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 5 mwaka 2020.
-
Alkhamisi tarehe 27 Februari 2020
Feb 27, 2020 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Rajab 1441 Hijria inayosadifiana na Februari 27 mwaka 2020.
-
Hadhrat Fatima (as) katika Suratul Kauthar
Jan 13, 2020 14:23Kwa mujibu wa baadhi ya nukuu za historia, Bibi Fatma Zahra binti wa Mtume Muhammad SAW alikufa shahidi tarehe 13 Jamadil Awwal baada ya kuishi maisha mafupi lakini yaliyojaa baraka tele.
-
Waislamu leo wanaadhimisha maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW na Imam Ja'afar Swadiq AS
Nov 15, 2019 04:44Waislamu leo wanaadhimisha maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad SAW pamoja na mjukuu wake Imam Ja'afar bin Muhammad al-Swadiq AS.