Mahakama Kuu Rwanda yatupilia mbali mashtaka kuhusu vibonzo vinavyomuhusu Kagame + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i53085-mahakama_kuu_rwanda_yatupilia_mbali_mashtaka_kuhusu_vibonzo_vinavyomuhusu_kagame_sauti
Mahakama Kuu nchini Rwanda imetupilia mbali mashtaka yaliyokuwa yametolewa na baadhi ya wanasheria nchini kupinga sheria iliyoanzishwa mwaka jana kuwa ni kosa la jinai kuchora vibonzo vinavyomkejeli Rais wa nchi hiyo. Wakati huo wanasheria hao walianzisha kesi kulipinga hilo huku wakisema hiyo ilikuwa ni kinyume cha katiba ya nchi hiyo. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 25, 2019 12:08 UTC