-
Rais wa Zambia aahidi kukuza uchumi baada ya kushinda uchaguzi
Aug 19, 2026 10:49Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema kuwa atatumia muhula wake mpya kukuza uchumi wa nchi hiyo na kuandaa fursa zaidi kwa wananchi ili kupunguza gharama za maisha.
-
Mwanasheria Mkuu Kenya akosa kujibu iwapo waliotimuliwa afisini wanaweza kuwania urais au la
Aug 19, 2026 09:38Mvutano wa kisheria kuhusu iwapo viongozi waliotimuliwa afisini kupitia Bunge wanaweza kugombea nyadhifa za kisiasa kabla ya kesi zao kukamilika bado utaendelea kutokota nchini Kenya.
-
WHO: Inawezekana kuitokomeza Ebola ndani ya miezi 3
Aug 19, 2026 09:12Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa bado kuna uwezekano wa kudhibiti mlipuko wa Ebola ambao unaenea kwa kasi inayopiku juhudi za kuuzuia, na ambao umekuwa mlipuko wa pili kwa ukubwa kuwahi kurekodiwa.
-
Nigeria inachunguza shambulio lililosababisha vifo vya watu 25 katika jimbo la Plateau
Aug 19, 2026 04:12Watu wasiopungua 25 wameuawa katika shambulio dhidi ya kijiji kimoja katika jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria.
-
Sudan Kusini yazidisha jitahada za kukabiliana na Ebola katika mpaka wake na Kongo
Aug 19, 2026 04:11Sudan Kusini imeimarisha ufuatiliaji wa maambukizi ya Ebola katika mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo harakati kubwa za watu kuvuka mpaka na matumizi ya njia zisizo rasmi zinaleta changamoto.
-
Lavrov: Wanajeshi wa Ukraine Wanahusika na Ugaidi dhidi ya Nchi za Afrika
Aug 18, 2026 11:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema kuwa Moscow imetiwa wasiwasi na ripoti zinazoashiria kuwa wanajeshi wa Ukraine wanahusika katika operesheni zinazotekelezwa na makundi haramu ya wanamgambo dhidi ya nchi za ukanda wa Sahel barani Afrika.
-
Maharamia wateka meli ya mizigo katika pwani ya Somalia
Aug 18, 2026 11:33Maharamia wa katika pwani ya Somalia wameiteka meli nyingine ya mizigo kando ya pwani ya nchi hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti za mashirika ya usalama wa baharini. Tukio hili ni ishara mpya ya kurejea kwa uharamia katika maji ya Pembe ya Afrika, baada ya miaka mingi ya utulivu .
-
Hichilema ashinda uchaguzi wa rais wa Zambia kwa asilimia 60 ya kura
Aug 18, 2026 03:23Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa takriban asilimia 60 ya kura zilizopigwa wiki iliyopita. Hayo yametangazwa mapema leo Jumanne na Tume ya Uchaguzi ya Zambia.
-
Mlipuko wa Ebola DRC sasa ni mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo
Aug 18, 2026 03:16Mlipuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umesababisha vifo vya watu 2,325 tangu mwezi Mei.
-
Rais wa Zambia aongoza katika matokeo ya awali huku upinzani ukidai kuchezewa rafu
Aug 17, 2026 10:19Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, hali inayomuweka katika nafasi nzuri ya kushinda muhula mwingine wa urais bila kufanyika duru ya pili.