-
Ethiopia yapata rais wa kwanza mwanamke
Oct 25, 2018 13:55Bunge la Ethiopia limemuidhinisha mwandiplomasia wa kimataifa, Sahle-Work Zewde kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Mripuko wa bomu Sinai, Misri waua wafanyakazi watatu
Oct 25, 2018 13:52Wafanyakazi watatu raia wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko na ukosefu wa usalama la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Makundi ya waasi Jamhuri ya Afrika ya Kati yatia saini makubaliano ya amani
Oct 25, 2018 13:29Makundi matano ya waasi ya kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati yametia saini makubaliano ya amani.
-
Uchunguzi: Mlipuko wa Ebola magharibi mwa Afrika umesababisha hasara ya dola bilioni 53
Oct 25, 2018 02:34Virusi vya Ebola vilivyozikumba nchi za magharibi mwa Afrika hususan Sierra Leone, Guinea and Liberia mwaka 2014 vilisababisha hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni 53.
-
UN: Pande hasimu Sudan Kusini ziliwateka nyara na kuwanajisi mamia ya wanawake
Oct 24, 2018 16:49Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umeeleza kuwa, askari wa serikali na waasi nchini humo wamewateka nyara mamia ya wanawake na wasichana mwaka huu na wengi miongoni mwao walibakwa na kufanywa watumwa wa ngono.
-
Watu zaidi ya 50 wauawa katika mapigano baina ya koo huko Somaliland, Somalia
Oct 24, 2018 16:31Mapigano yaliyojiri kati ya koo hasimu katika kijiji cha Dhumey eneo la Somaliland lililojitenga na Somalia yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 50.
-
Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake
Oct 24, 2018 12:18Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tano la Umoja wa Afrika (AU) kimeanza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya miundo ya kiutawala na kidemokrasia na vilevile kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi za bara hilo.
-
Mazungumzo ya amani ya Burundi yanafanyika leo, serikali ya Bujumbura haishiriki
Oct 24, 2018 08:05Duru ya tano ya mazungumzo ya amani ya Burundi yanayosimamiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inaanza kufanyika leo mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania.
-
Wananchi wa Liberia waandamana kulaani ubakaji katika kituo cha Marekani cha 'More Than Me'
Oct 24, 2018 07:59Wazazi na wanafunzi nchini Liberia wameandamana katika mji mkuu Monrovia kulalamikia na kulaani vitendo vya ubakaji vinavyofanyika katika kituo kimoja cha elimu kinachosimamiwa na Marekani cha "More Than Me" MTM.
-
Polisi ya Guinea Conakry yatumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na waandamanaji
Oct 24, 2018 07:48Polisi ya Guinea Conakry imetumia mabomu ya kutoa machozi kukabiliana na maandamano dhidi ya serikali ya nchi hiyo.