-
UN: Pande hasimu Sudan Kusini ziliwateka nyara na kuwanajisi mamia ya wanawake
Oct 24, 2018 16:49Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umeeleza kuwa, askari wa serikali na waasi nchini humo wamewateka nyara mamia ya wanawake na wasichana mwaka huu na wengi miongoni mwao walibakwa na kufanywa watumwa wa ngono.
-
Watu zaidi ya 50 wauawa katika mapigano baina ya koo huko Somaliland, Somalia
Oct 24, 2018 16:31Mapigano yaliyojiri kati ya koo hasimu katika kijiji cha Dhumey eneo la Somaliland lililojitenga na Somalia yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 50.
-
Kuanza kazi bunge la tano la Afrika; matatizo na malengo yaliyopo mbele yake
Oct 24, 2018 12:18Kikao cha kwanza cha kawaida cha bunge la tano la Umoja wa Afrika (AU) kimeanza katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya miundo ya kiutawala na kidemokrasia na vilevile kurahisisha mahusiano ya kibiashara baina ya nchi za bara hilo.
-
Mazungumzo ya amani ya Burundi yanafanyika leo, serikali ya Bujumbura haishiriki
Oct 24, 2018 08:05Duru ya tano ya mazungumzo ya amani ya Burundi yanayosimamiwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inaanza kufanyika leo mjini Arusha kaskazini mwa Tanzania.
-
Wananchi wa Liberia waandamana kulaani ubakaji katika kituo cha Marekani cha 'More Than Me'
Oct 24, 2018 07:59Wazazi na wanafunzi nchini Liberia wameandamana katika mji mkuu Monrovia kulalamikia na kulaani vitendo vya ubakaji vinavyofanyika katika kituo kimoja cha elimu kinachosimamiwa na Marekani cha "More Than Me" MTM.
-
Polisi ya Guinea Conakry yatumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na waandamanaji
Oct 24, 2018 07:48Polisi ya Guinea Conakry imetumia mabomu ya kutoa machozi kukabiliana na maandamano dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Mahakama maalumu ya jinai yazinduliwa Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti
Oct 24, 2018 05:55Mahakama maalumu ya jinai za kivita imezinduliwa rasmi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ni miongoni mwa nchi masikini zaidi duniani. Nchi hiyo ilitumbukia kwenye mgogoro wa kisiasa mwaka 2013 baada ya kuondolewa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé na waasi wa Seleka. Mossi Mwasi na maelezo zaidi...
-
Upizani Zimbabwe: Rais Mnangagwa hana uhalali wa kuongoza
Oct 24, 2018 02:52Kiongozi wa chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa ametoa mwito wa kuundwa Mamlaka ya Kitaifa ya Mpito akisisitiza kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro kuhusu uhalali wa serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa.
-
António Guterres asisitiza umuhimu wa kuimarishwa nafasi ya askari wa Umoja wa Mataifa katika kurejesha usalama nchini CAR
Oct 24, 2018 02:51Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ameutaka umoja huo kuimarisha nafasi yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Amnesty: Watu 52 wameaga dunia wakiwa kizuizini Madagascar
Oct 23, 2018 13:30Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu 52 walifariki dunia katika mazingira ya kutatanisha wakiwa korokoroni wakisubiri kesi zao mwaka jana 2017 nchini Madagascar.