-
Baada ya kushambuliwa Port Sudan, serikali ya Khartoum yakata uhusiano na Imarati
May 06, 2025 23:07Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumanne kwamba imeamua kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumrejesha nyumbani balozi wake, ikitangaza kuwa Imarati ni "nchi chokozi."
-
Mazungumzo ya amani ya Kongo-Rwanda: Rasimu yawasilishwa
May 06, 2025 07:29Kongo na Rwanda zimewasilisha rasimu ya pendekezo la amani kama sehemu ya mpango wa kumaliza mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrsia ya Kongo.
-
Basi lenye watu 70 lawaka moto Uganda, wengi wahofiwa kufa
May 06, 2025 07:28Watu wengi wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la abiria kupinduka na kuwaka moto Jumatatu jioni katika wilaya ya Bukiwe ya katikati mwa Uganda.
-
Miripuko, moto mkubwa katika mji wa bandari wa Port Sudan nchini Sudan
May 06, 2025 07:28Miripuko mingi imesikika na moto mkubwa umezuka katika mji wa bandari wa Port Sudan, huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi nchini Sudan vikiendelea katikak mji huo ambao huko nyuma ulikuwa na utulivu angalau wa siku ya tatu.
-
Mawaziri Ghana watakaoshindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo Mei 7 kufutwa kazi
May 06, 2025 02:45Rais John Mahama wa Ghana amewaonya mawaziri na wateule wengine zaidi ya 40 wa serikali yake kuwa watafutwa kazi ikiwa watashindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo kesho Jumatano ya tarehe 7 Mei, ambayo ndiyo siku ya mwisho iliyowekwa kwa ajili ya zoezi hilo.
-
Mapigano yapamba moto Kivu Kusini huko DRC; mazungumzo ya amani yakwama
May 05, 2025 23:16Mapigano yaliripotiwa kutokea jana Jumatatu katika jimbo la Kivu Kusini la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, licha ya kwamba mazungumzo baina ya serikali na waasi wa M23 yanaendelea nchini Qatar.
-
Museveni: Kushiriki kwetu kumesaidia kushindwa waasi Sudan Kusini na DRC
May 05, 2025 23:15Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa operesheni za pamoja za kijeshi zilizoanzishwa na Kampala katika nchi jirani za Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimewashinda waasi katika nchi zote mbili.
-
Mpango wa sarafu moja ya Sahel badala ya CFA Franc ya Ufaransa
May 05, 2025 02:58Niger imeandaa mkutano wa kuendeleza sarafu ya pamoja ya Muungano wa Nchi za Sahel (AES), kwa sababu uhuru wa kweli hauwezekani bila mamlaka ya kifedha.
-
Waasi wa M23 wameuteka mji wa uvuvi wa kimkakati mashariki mwa DRC licha ya mkataba wa amani
May 05, 2025 02:58Waasi wa M23 na washirika wao siku ya Jumapili waliteka mji wa Lunyasenge, ulioko kwenye pwani ya magharibi ya Ziwa Edward, mashariki mwa DRC, baada ya mapigano na jeshi yaliyosababisha vifo vya watu 17, wakiwemo wanajeshi saba.
-
Machafuko yazidi katika kambi ya Zamzam iliyozingirwa katika eneo la Darfur, Sudan
May 05, 2025 02:57Mgogoro nchini Sudan uliolipuka miaka miwili iliyopita umechochea wimbi la vurugu za kikabila, kuunda janga kubwa zaidi la kibinadamu duniani, na kuingiza maeneo kadhaa ya nchi katika njaa.