-
Somalia: Kuitambua Somaliland ni njama za kupotosha walimwengu kuhusu jinai za Israel Gaza
Jan 03, 2026 23:09Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Somalia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hatua ya Israel ya ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland', ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili kuwa ni njama kupotosha maoni ya umma kutokana na uhalifu unaoendelea kufanywa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Mapigano mapya yaripotiwa kati ya vikosi vya DRC na waasi wa M23 karibu na mji muhimu wa Uvira
Jan 03, 2026 08:41Mapigano makali yamejiri leo Jumamosi kati ya waasi wa wenye silaha wa kundi la M23 na vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Kinshasa katika miji kadhaa karibu na mji wa Uvira, mashariki mwa DR Congo, vyanzo vya ndani vilisema.
-
Somalia yapokezwa uenyekiti wa kiduru wa Baraza la Usalama la UN
Jan 03, 2026 02:33Somalia jana Ijumaa ilichukua urais wa zamu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kipindi cha mwezi huu wa Januari, ikiwa ni mara ya kwanza kwa nchi hiyo kushikilia wadhifa huo tangu ilipohudumu mara ya mwisho katika baraza hilo mwaka 1971-72.
-
Sheikh Mayunga, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Afrika Mashariki ameaga dunia
Jan 02, 2026 09:58Jamii ya Kiislamu Afrika Mashariki na hasa nchini Tanzania imekumbwa na msiba mkubwa kufuatia kufariki dunia kwa mwanazuoni mashuhuri, na mfasiri wa Qur'ani Tukufu, Sheikh Ali Jumaa Mayunga, aliyefariki dunia tarehe 1 Januari 2026, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
-
Wahamiaji kadhaa wakufa maji katika ajali ya boti Gambia
Jan 02, 2026 06:44Askari wa gadi ya baharini ya Gambia wameopoa majini miili saba ya wahamiaji wasio na vibali, huku wengine 96 wakiokolewa kufuatia ajali ya boti pwani ya nchi hiyo.
-
Ethiopia yawarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,000 waliokwama nje ya nchi
Jan 02, 2026 06:43Serikali ya Ethiopia imetangaza kwamba imewarejesha nyumbani zaidi ya raia 27,300 waliokuwa wamekwama katika nchi za Myanmar na Saudi Arabia katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Karibu dola bilioni 50, deni la taifa la Libya
Jan 02, 2026 03:23Deni la taifa la Libya lilikuwa ni karibu dola bilioni 50 za Marekani mwaka 2024, hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Ofisi ya Ukaguzi ya Libya, ambayo huwa inatolewa mwishoni mwa kila mwaka unaofuata.
-
Jeshi la Somalia laangamiza makumi ya magaidi wa al-Shabaab
Jan 01, 2026 23:17Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab lenye misimamo ya kufurutu ada , wameangamizwa katika operesheni ya wanajeshi wa Somalia.
-
DRC: Watu 1,500 wameuawa mashariki mwa nchi
Jan 01, 2026 23:17Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema zaidi ya raia 1,500 wameuawa katika ghasia zinazoendelea katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo tangu mapema mwezi Desemba, 2025 mpaka sasa.
-
Somaliland yajitoa kimasomaso, yakanusha kuafiki kujengwa kambi za kijeshi za Israel
Jan 01, 2026 23:16Eneo la Somaliland la kaskazini mwa Somalia limekanusha madai kwamba lilikubali kuwa mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Israel na kuwapokea Wapalestina waliofurushwa kutoka Gaza ili kutambuliwa na Israel.