-
Shirika la Ndege la Ethiopian Airlines limefuta safari zake kwenda Tigray kwa sababu ya mapigano
Jan 29, 2026 23:18Shirika la ndege la Ethiopian Airlines limefuta safari za ndege kuelekea kaskazini mwa mkoa wa Tigray baada ya mapigano ya silaha kuzua hofu ya kuibuka mzozo mpya katika eneo hilo.
-
Juhudi za uokoaji zinaendelea Msumbiji baada ya wiki kadhaa za mvua kubwa
Jan 29, 2026 09:10Juhudi za utafutaji na uokoaji zinaendelea kufanywa nchini Msumbiji baada ya wiki kadhaa za mvua kubwa iliyosababisha mafuriko makubwa, kuzamisha ardhi ya mashamba, kubomoa nyumba na miundombinu kujaa maji.
-
Milio ya risasi yasikika mapema leo karibu na uwanja wa ndege wa mji mkuu wa Niger
Jan 29, 2026 09:03Milio ya risasi ilisikika mapema leo karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mkuu wa Niger, Niamey kabla ya hali ya utulivu kurejea.
-
ECOWAS pia yatangaza kuiondolea vikwazo Guinea
Jan 29, 2026 02:35Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kuondoa vikwazo vyote vilivyobaki ilivyowekea Guinea kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021.
-
Je, Tel Aviv inalenga kuizingira kimkakati Misri katika Bahari Nyekundu?
Jan 28, 2026 23:54Misri, katika kujibu kuongezeka kwa ushawishi na uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Pembe ya Afrika, imeimarisha uwepo wake wa kijeshi nchini Somalia.
-
Jeshi la Niger lasema zaidi ya magaidi 70 "wameangamizwa"
Jan 28, 2026 09:49Jeshi la Niger limesema kwamba, zaidi ya magaidi 70 "waliangamizwa" kote nchini kati ya Januari 19 na 25, wakiwemo zaidi ya 50 waliouawa katika mashambulizi ya anga yaliyolenga "mikusanyiko ya maadui."
-
Serikali ya Sudan Kusini: Hatuko vitani licha ya mapigano makali
Jan 28, 2026 04:17Serikali ya Sudan jana ilitangaza kuwa haiko vitani licha ya mapigano makali yanayoendelea dhidi ya waasi katika siku za karibuni.
-
Rwanda yaishtaki serikali ya Uingereza kwa kukiuka makubaliano ya wahamiaji
Jan 28, 2026 04:12Rwanda imeishtaki serikali ya Uingereza kuhusu makubaliano ya wahamiaji ambayo London imeyatelekeza yapata miaka miwili iliyopita.
-
MONUSCO yawarejesha nyumbani waasi 15 wa zamani wa Rwanda kutoka Kongo
Jan 28, 2026 04:00Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) kimeripoti kuwa kimewarejesha nyumbani Wanyarwanda 34, wakiwemo wapiganaji 15 wa zamani wa kundi la waasi la Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR).
-
Kenya katika kivuli cha ukoloni wa Uingereza; simulizi ya umwagaji damu na ukandamizaji dhidi ya Mau Mau
Jan 28, 2026 02:07Katika miaka ambayo Uingereza ilijiona kuwa taifa kubwa na lisilo na mpinzani duniani, ardhi moja katika Afrika Mashariki polepole ikageuka na kuwa eneo la mojawapo ya uzoefu mchungu zaidi wa kikoloni.