-
Duru mpya ya mazungumzo ya pamoja ya usalama kati ya Marekani na Iraq mjini Washington
Jul 24, 2024 07:44Alina Romanowski, balozi wa Marekani mjini Baghdad, alitangaza siku ya Jumatatu kuhusu kuanza mazungumzo kati ya Marekani na Iraq huko Washington mji mkuu wa Marekani ajenda kuu ikiwa ni "mustakabali wa muungano wa kimataifa."
-
Radiamali za asasi za kimataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu Gaza
Jul 23, 2024 23:02Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Idadi ya Watu na Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka wameonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu na mgogoro katika Ukanda wa Gaza, hasa hali ya wanawake na watoto.
-
Kufanyika kura ya maoni Palestina; mkakati na suluhisho la Iran
Jul 23, 2024 10:29Nasser Kanani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, "suluhisho bora zaidi la kuhitimisha hali haramu ya sasa katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu ni kufanyika kura ya maoni jumuishi kwa kushirikisha wakaazi wote na raia asili wa ardhi hiyo."
-
Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani
Jul 22, 2024 22:53Hatimaye, Joe Biden, Rais wa Kidemokrati wa Marekani mwenye umri wa miaka 81, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa nchi hiyo baada ya mijadala mingi kuhusu kugombea kwake katika uchaguzi wa Novemba 5 mwaka huu, na kumuunga mkono Kamala Harris, makamu wake kama mgombea wa kiti hicho.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza juu ya ushirikiano wa bunge na rais kwa ajili ya kuunda serikali inayofaa kiutendaji
Jul 22, 2024 08:19Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameelezea matumaini yake kuwa kupitia ushirikiano wa Rais Mteule na Bunge, baraza la mawaziri lenye watu waaminifu na wachapakazi litaundwa kwa ajili ya kutatua matatizo ya nchi na wananchi.
-
Kukabidhiwa madaraka serikali ya awamu ya 14 kwa njia ya amani na utulivu kamili
Jul 21, 2024 23:00Kukabidhiwa madaraka rais mpya wa Iran, ni moja ya dalili za wazi za mkondo wa kukabidhi madaraka kwa njia ya amani na utulivu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran, jambo ambalo linachukuliwa kuwa mfano mzuri na wa kuigwa na hata na nchi zinazodai kutekeleza demokrasia.
-
Utayarifu wa makundi ya Muqawama kwa ajili ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 21, 2024 04:06Baada ya operesheni iliyofanywa na Jeshi la Yemen katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa kutumia ndege isiyo na rubani, makundi ya Muqawama katika eneo la Magharibi mwa Asia yametangaza uungaji mkono wao kwa hatua hiyo na kuuonya utawala wa Kizayuni kuhusu kuendeleza vita.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 20, 2024 23:00Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
Marekani chimbuko kuu la matatizo Asia Magharibi
Jul 20, 2024 07:03Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekosoa vikali maamuzi na hatua za mabavu na za upande mmoja zinazochukuliwa na Marekani katika masuala mbali mbali ya Asia Magharibi na kubainisha kwamba, hatua hizo ndio chimbuko kuu la matatizo yanayolikumba eneo hili.
-
Kufeli njama za kuleta fitna baina ya Waislamu nchini Afghanistan
Jul 19, 2024 22:48Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan ametangaza kuwa, katika kipindi cha miaka 20 iliyopita, kumefanyika njama nyingi za kuzusha fitna baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia nchini humo lakini zote zimefeli.