-
Sisitizo la viongozi wakuu wa Iran na Saudia la kuimarisha uhusiano baina ya nchi zao
Jul 19, 2024 05:26Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na Massoud Pezeshkian, rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamezungumza kwa simu na kutilia mkazo umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tehran na Riyadh.
-
Msimamo wa wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la UN dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jul 19, 2024 00:23Wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa wametoa radiamali yao kwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Kanusho la Iran kwa madai ya uwongo ya Marekani ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump
Jul 18, 2024 07:10Baada ya tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani na mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024, baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani kwa mara nyingine vikiendeleza propaganda za chuki dhidi ya Iran (Iranphobia) vilidai kuweko mkono wa Iran katika tukio hilo.
-
Mzozo baina ya jeshi na serikali ya Israel; mgogoro wa kisiasa unaorindima kati ya Wazayuni
Jul 17, 2024 22:58Mkuu wa Majeshi ya utawala wa Kizayuni amemtaka waziri mkuu wa utawala huo pandikizi, Benjamin Netanyahu aombe radhi kutokana na matamshi yake dhidi ya jeshi la Israel. Hili linazidi kuthibitisha kuweko mzozo mkubwa baina ya jeshi katili la Israel na serikali yenye misimamo mikali ya Kizayuni inayoongozwa na nduli wa Ghaza, Benjamin Netanyahu.
-
Uhusiano wa Iran na China katika serikali mpya ya awamu ya 14
Jul 17, 2024 05:07Kufuatia kuchaguliwa Masoud Pezeshkian kuwa rais mpya wa Iran, swali linajotokeza hapa kuwa je, uhusiano wa baadaye kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China utakuwa vipi katika serikali ya awamu ya 14 ya Tehran.
-
Holocaust ya kukaririwa kila siku huko Gaza
Jul 17, 2024 00:13Wazayuni wenye itikadi kali za kufurutu ada wanaotawala huko Tel Aviv, wakiongozwa na Benjamin Netanyahu, licha ya kushindwa kufikia malengo yao ya kijeshi katika Ukanda wa Gaza, wanaendelea kufanya mauaji mapya ya holocaust kila siku katika ukanda huo.
-
Taathira za kiuchumi za mashambulio ya mrengo wa Muqawama katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 16, 2024 03:04Bandari ya Eilat iliyoko katika mji wa kusini zaidi mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, imefungwa na kutangaza kufilisika kutokana na mashambulizi ya muqawama wa Yemen na Iraq.
-
Kuingia BRICS katika nyanja mpya za ushirikiano
Jul 15, 2024 23:22Sambamba na kufanyika kikao cha St.Petersburg nchini Russia ambapo maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa kundi la BRICS walikutana na kujadiliana masuala mbalimbali katika kikao chao cha 10, wasemaji wa wizara za mambo ya nje wa kundi hilo pia walifanya mkutano maalum kando ya kikao hicho ili kuratibu misimamo yao kuhusu sera za kigeni.
-
Radiamali ya OIC dhidi ya kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Jul 15, 2024 08:56Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani jinai za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel, ambazo zimepelekea kuuuawa shahidi makumi ya watu katika maeneo ya Al-Sinaa na Tel-al-Hawa katika Gaza.
-
Kufafanuliwa na Rais mteule Masoud Pezeshkian fremu ya sera za kigeni za serikali mpya ya Iran
Jul 14, 2024 23:14Katika risala yake ya pili, rais mteule wa Iran Masoud Pezeshkian, amefafanua sera ya serikali mpya katika uga wa nje.