Uchambuzi
  • Kufungwa ubalozi wa Ufaransa nchini Niger

    Kufungwa ubalozi wa Ufaransa nchini Niger

    Jan 04, 2024 01:11

    Hatimaye ubalozi wa Ufaransa umefungwa rasmi nchini Niger miezi kadhaa baada ya kufanyika marekebisho ya kisiasa na Baraza la Kijeshi kuchukua uongozi wa nchi, ambapo lilisisitiza kuondoka vikosi vya kijeshi na kukomeshwa satwa ya Ufaransa katika nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Kuongezeka uwepo wa wanamaji wa Iran katika Bahari Nyekundu

    Kuongezeka uwepo wa wanamaji wa Iran katika Bahari Nyekundu

    Jan 03, 2024 08:31

    Meli ya kivita ya Alborz imerudi tena katika Bahari Nyekundu ikiwa ni katika Meli za Kikosi cha 94 cha Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kupitia Lango-Bahari la Bab al-Mandab. Manowari hiyo ya Alborz ilijiunga na Meli za Kusini za Jeshi la Wanamaji Desemba 2019 baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa na kuwekwa humo mifumo mipya ya kiteknolojia.

  • Maandamano ya wananchi wa Uturuki ya kupinga vita

    Maandamano ya wananchi wa Uturuki ya kupinga vita

    Jan 03, 2024 03:59

    Katika muendelezo wa maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Waislamu huko Gaza, makumi ya maelfu ya wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa mjini Istanbul kupinga jinai za utawala wa Kizayuni na mauaji ya vijana wa Kituruki kaskazini mwa Iraq katika siku ya kwanza ya mwaka huu mpya wa 2024.

  • Kushtadi mvutano kati ya Netanyahu na Biden kuhusu Gaza

    Kushtadi mvutano kati ya Netanyahu na Biden kuhusu Gaza

    Jan 02, 2024 23:16

    Gazeti la Marekani la New York Times limetangaza katika ripoti iliyowanukuu maafisa wa Marekani na Wazayuni kwamba, mazungumzo ya hivi karibuni kati ya Rais Joe Biden wa Marekani na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel yalitawaliwa na malumbano na kurushiana maneno.

  • Kususiwa Biden na Waislamu wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu (2024)

    Kususiwa Biden na Waislamu wa Marekani katika uchaguzi wa mwaka huu (2024)

    Jan 02, 2024 04:55

    Huku Rais Joe Biden wa Marekani akiendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza, Waislamu wa Marekani wameanzisha kampeni dhidi ya Trump katika majimbo kadhaa muhimu kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu wa 2024.

  • Kujiunga rasmi Iran na kundi na BRICS

    Kujiunga rasmi Iran na kundi na BRICS

    Jan 02, 2024 04:36

    Mwakilishi wa Afrika Kusini katika Kundi la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani (BRICS) ameeleza kuwa Iran, Saudi Arabia, Imarati, Misri na Ethiopia zimejiunga rasmi na kundi hilo kuanzia Januari Mosi mwaka huu wa 2024.

  • Uchaguzi wa urais wa 2024 na kuongezeka hatari ya ugaidi  ndani ya Marekani

    Uchaguzi wa urais wa 2024 na kuongezeka hatari ya ugaidi ndani ya Marekani

    Jan 01, 2024 23:18

    Jena Marie Griswold, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jimbo la Colorado nchini Marekani, amesema kuwa ametishiwa maisha mara kadhaa baada ya kuwasilisha malalamiko yaliyopelekea kuondolewa jina la Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka huu wa 2024 kwenye orodha ya wagombea katika jimbo hilo.

  • Kuachishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje; matokeo ya kwanza ya kisiasa ya vita vya Gaza

    Kuachishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje; matokeo ya kwanza ya kisiasa ya vita vya Gaza

    Jan 01, 2024 07:07

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje wa Baraza lake la Mawaziri katika siku ya mwisho ya 2023.

  • Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali

    Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali

    Jan 01, 2024 04:30

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Pakistan ameeleza kuridhishwa kwake na mwenendo unaokua wa uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.