-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akanusha vikali uwepo wa Iran katika vita vya Ukraine
Mar 22, 2023 04:07Tangu kuanza vita vya Ukraine, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza ulazima wa Russia na Ukraine kutatua mgogoro huo kwa njia za kisiasa na mazungumzo. Bila shaka, Tehran pia imechukua hatua kadhaa za kivitendo katika uwanja huo.
-
Mapatano ya Kiusalama kati ya Iran na Iraq; azma thabiti ya kukabiliana na vitisho
Mar 21, 2023 22:47Katika hafla iliyohudhuriwa na Mohammad Shia as-Sudani, Waziri Mkuu wa Iraq hapo siku ya Jumapili tarehe 19 Machi mwaka huu, makubaliano ya ushirikiano wa usalama wa pamoja wa kati ya nchi mbili jirani za Iran na Iraq yalitiwa saini na Admeri Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na Qasim al-Aarji, Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Waziri Mkuu wa Iraq.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu: 1402; Mwaka wa 'Udhibiti wa Mfumuko wa Bei, Ukuaji wa Uzalishaji'
Mar 21, 2023 05:38Nguvu ya kiuchumi ni mojawapo ya nguzo muhimu za nguvu ya kitaifa ya nchi yoyote ile, na inachukuliwa kuwa mojawapo ya nguzo muhimu wakati wa kupima uwezo wa nchi. Nguvu ya kitaifa inahusiana moja kwa moja na nguvu ya kiuchumi.
-
Juhudi za China za kumaliza mgogoro wa Ukraine
Mar 21, 2023 03:22Rais Xi Jinping wa China, amesema kuwa mpango wa nchi yake wa kutatua mzozo wa Ukraine unaakisi maoni ya ulimwengu, na kuwa vipengee 12 vya mpango huo vitaondoa kabisa taathira hasi za mgogoro huo.
-
Kutimia miaka 20 ya shambulio la Marekani dhidi ya Iraqi: Nembo ya sera za vita na maamuzi ya upande mmoja
Mar 20, 2023 22:56Miaka 20 iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, Rais wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwa hatua ya upande mmoja na kinyume cha sheria kwa ushirikiano wa Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair. Majeshi ya Marekani na Uingereza yalianzisha vita vikubwa dhidi ya Iraq na kupelekea kuanguka utawala wa Baath ulioongozwa na dikteta Saddam.
-
Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa
Mar 20, 2023 06:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.
-
Matokeo ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky nchini Nigeria
Mar 19, 2023 22:47Mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Nigeria na wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky bado yanaendelea. Kuhusiana na hilo, vikosi vya usalama katika jimbo la Kaduna vimewaua watu wasiopungua 6 katika shambulio dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Undumakuwili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusu jinai za kivita
Mar 19, 2023 04:11Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, ambayo inajiona kuwa mahakama ya kwanza ya kudumu ya kimataifa inayoshughulikia uhalifu wa mauaji ya halaiki, jinai dhidi ya binadamu, jinai za kivita na uchokozi, Ijumaa iliyopita ilitoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa Rais Vladmir Putin wa Russia.
-
Kuuliwa shahidi Wapalestina 88 katika muda wa chini ya miezi 3
Mar 18, 2023 22:50Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wamewaua shahidi Wapalestina 88 tangu kuanza mwaka huu wa 2023 hadi sasa.
-
Wimbi jipya la migomo na malalamiko nchini Uingereza; ishara ya kutoridhishwa na serikali ya Sunak
Mar 18, 2023 04:31Mamia ya maelfu ya wananchi wa Uingereza wamemiminika katika mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, London katika maandamano na migomo mikubwa inayoendelea dhidi ya serikali ya Waziri Mkuu, Rishi Sunak.