-
Mtetemeko mkubwa wa ardhi katika mpaka wa Iran na Iraq katika Picha
Nov 13, 2017 13:06Hadi tunapokea habari hii, idadi ya watu waliokuwa wamepoteza maisha yao kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliopita eneo la mpakani mwa Iran na Iraq ilikuwa imeshafikia watu 445 na wengine 7100 kujeruhiwa.
-
SAUTI, Kiwanda cha kuzalisha umeme mji wa Kisangani Kongo DR, chazingirwa na mafuriko, mji wawa totoro
Nov 11, 2017 12:17Athari ya mvua zinazoendelea kunyesha katika nchi kadhaa za Afrika zimeendelea kushuhudiwa ambapo mbali na kusababisha maafa zimesababisha pia uharibifu wa miundombinu.
-
Salum Bendera na ripoti ya kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain AS, Karbala Iraq
Nov 11, 2017 07:42Jana Ijumaa mwezi 20 Mfunguo Tano Safar sawa na tarehe 10 Novemba 2017 ilisadifiana na Arubaini ya Imam Husain AS kwa mujibu wa kalenda ya Iraq. Mamilioni ya Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wameshiriki katika kumbukumbu hizo zilizofikia kileleni jana huko Karbala Iraq. Mwenzetu Salumu Bendedra aliyetumwa maalumu kuakisi tukio hilo ametutayarishia ripoti ifuatayo
-
Mahojino na Sheikh Ghauth Nyambwa akiwa Karbala Iraq
Nov 11, 2017 07:35Kumbukumbu za Arubaini ya Imam Husain ambazo hufikia kileleni mwezi 20 Mfunguo Tano Safar kila mwaka huko Karbala Iraq, zinawajumuisha pamoja mamilioni ya wapenzi wa Ahlul Bayt AS kutoka kona zote za dunia.
-
SAUTI, Viongozi wa vyama tawala Afrika wamekosolewa kwa kuingilia uhuru wa tume za chaguzi zao
Nov 09, 2017 13:13Suala la machafuo yanayotokea baada ya chaguzi mbalimbali barani Afrika, ni kati ya mada zinazoendelea kujadiliwa na wenyeviti wa tume za uchaguzi kwenye nchi za Kiafrika katika mkutano wao ulioanza Akhamisi ya leo jiji Kigali, Rwanda.
-
SAUTI, Waziri Mkuu Tanzania: Hakuna haja ya kutumwa wachunguzi wa kigeni kwani vyombo vyetu vinaweza
Nov 09, 2017 11:45Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepinga ombi la upinzani nchini humo la kutaka kuagizwa timu ya wachunguzi wa kigeni ili kufuatilia wahusika wa vitendo vya utekaji nyara na mashambulizi dhidi ya viongozi wa kisiasa hususan wa upinzani.
-
SAUTI, Huku mamilioni ya wafanyaziara wakiendelea kuwasili Karbala, Iraq ukarimu wa Wairaq nao umewavutia wengi
Nov 08, 2017 13:52Huku mamilioni ya wafanyaziara kutoka maeneo mbalimbali ya duania wakiendelea kuwasili mjini Karbala, Iraq, maafisa usalama wa nchi hiyo wamekuwa wakionekana kila mahala ikiwa ni katika juhudi za kuhakikisha marasimu ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imam Hussein yanafanyika kwa amani.
-
SAUTI, Kampuni ya RAHCO Tanzania, yatakiwa kuwalipa wananchi waliobomolewa nyumba zao Dar
Nov 08, 2017 12:56Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania, imetoa maamuzi ya malalamiko ya wakazi 72 wa kata ya Mnyamani, Vingunguti jijini Dar es Salaam kulipwa fidia kufuatia nyumba zao kubomolewa.
-
SAUTI, Usalama umeendelea kuimarishwa mjini Karbala, Iraq huku mamilioni ya watu wakiendelea kuwasili
Nov 07, 2017 13:10Usalama umeimarishwa mjini Karbala, Iraq zikiwa zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika marasimu ya kumbukumbu ya Arobaini ya Imam Hussein (as) Mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).
-
SAUTI, Wanafunzi wa elimu ya juu Dar, Tanzania waweka kambi nje ya majengo ya bodi ya mikopo kuililia serikali
Nov 07, 2017 11:58Wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania wameendelea kuweka kambi nje ya ofisi za bodi ya mikopo ya elimu ya juu jijini Dar es Salaam.