-
Hali ya Karbala wakati wa Arubaini ya Imam Husain AS + Video
Nov 07, 2017 07:57Hali na mazingira ya wakati huu katika ardhi tukufu za Iraq inakuwa ni ya kipekee kabisa katika kila upande. Ni hali na mazingira ambayo hayapatikani katika sehemu yoyote ya dunia.
-
Arubaini ya Imam Husain AS katika Picha
Nov 05, 2017 07:24Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wanazidi kumiminika Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS.
-
Uonevu dhidi ya waandishi wa habari
Nov 03, 2017 05:44Baraza la habari Tanzania limepanga kuwapeleka mahakamani wale wanaotishia na kufanya uhalifu kwa wanahabari kwani ni jambo ambalo linaleta hofu kwao na kupelekea washindwe kufanya kazi kwa ufanisi Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka Dar es Salaam Tanzania anataarifa zaidi.
-
Mbunge wa CCM Lazaro Nyalandu ajiuzulu; atangaza kuhamia Chadema+Sauti
Oct 30, 2017 09:44Mbunge wa chama tawala nchini Tanzania CCM Lazaro Nyalandu amejiuzulu wadhifa wake, na kusema kwamba anataka kuhamia chama cha upinzani Chadema.
-
Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania + Picha
Oct 28, 2017 08:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tanzania ni lango muhimu la kuingilia eneo la mashariki mwa Afrika na kwa kuzingatia kuwa Iran ina nafasi na uwezo mkubwa katika sekta mbalimbali na jambo hilo linaufanya wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili kuwa na umuhimu wa kieneo.
-
SAUTI: Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki uchaguzi wa marudio, huku wakiwataka wenzao (Kenya) kudumisha amani
Oct 26, 2017 13:06Wakenya wanaoishi nchini Tanzania wameshiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya kumchagua rais wao katika uchaguzi wa rais wa marudio.
-
Zarif aonana na Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda mjini Kampala + Picha
Oct 25, 2017 12:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonana na Rais Yowezi Kaguta Museveni wa uganda mjini Kampala na pande hizo mbili zimejadiliana masuala ya pande mbili na ya kieneo na kimataifa.
-
Taarifa ya Umoja wa Ulaya; sisitizo la kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 25, 2017 00:30Jumatatu ya tarehe 22 Oktoba, Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Ulaya walitoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Luxembourg ambayo ilisema kuwa umoja huo utaendelea kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
SAUTI: Rais John Magufuli wa Tanzania awatunuku zawadi waliohusika na ufuatiliaji wa sakata la makinikia
Oct 23, 2017 13:26Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewatunuku vyeti Maalum wajumbe wote wa kamati zilizofanya uchunguzi wa kiwango na thamani ya madini katika makinikia, pamoja na kufanya makubaliano kati ya serikali na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold Corporation nchini humo.
-
SAUTI: Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya lawachagua viongozi wapya, watakiwa kutatua matatizo ya Waislamu
Oct 23, 2017 13:20Hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya limefanya uchaguzi wa ndani ikiwa ni baada ya kupita zaidi ya miaka 10.