-
Jitihada za kuanzisha mfumo wa Kitrump katika Ghuba ya Uajemi
Oct 23, 2017 05:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex W. Tillerson jana alikuwa Riyadh huko Saudi Arabia katika awamu ya kwanza ya safari yake kwenye nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.
-
Safari ya Zarif barani Afrika, hatua nyingine ya kustawisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Oct 23, 2017 04:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif jana Jumapili aliwasili nchini Afrika Kusini akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi kwa shabaha ya kufanya mazungumzo na viongozi wa serikali ya Pretoria.
-
Wimbi kubwa la utiaji mbaroni wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Oct 21, 2017 23:36Polisi ya utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukabiliana kwa njia mbalimbali na wanaharakati wa kisiasa huko Bahrain huku wapinzani nchini humo wakiendelea kila uchao kuwekwa jela kwa visingizio visivyo na msingi.
-
Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA
Oct 21, 2017 13:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inapasa kufanya jitihada za kutekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama inavyofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Israel yaendelea kuwasaida magaidi wanaopumua pumzi za mwisho Syria, yashambulia jeshi la serikali
Oct 20, 2017 01:10Katika kuendelea uungaji mkono wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji yanayotaka kuiangusha serikali halali ya Syria, kwa mara nyingine jeshi la utawala haramu wa Kizayuni limeshambulia maeneo ya jeshi la Syria katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo.
-
Kuendelea tafiti za kusaka Katiba Mpya nchini Tanzania + SAUTI
Oct 19, 2017 12:51Wananchi wa Tanzania wameendelea kuunga mkono kwa nguvu kubwa uundwaji wa katiba mpya inayotilia mkazo suala la uwajibikaji huku asilimia 79 wanataka mawaziri wanaoteuliwa wapitishwe na bunge na asilimia 64 wanataka wawe na uwezo wa kuwaondoa wabunge katikati ya uchaguzi iwapo hawatatekeleza majukumu yao ipasavyo Mwandishi wetu Silvano Kayera kutoka dar es salaam Tanzania ana taarifa zaidi…
-
Umuhimu wa Vyuo Vikuu vya Afrika kuwa na mtaala mmoja wa masomo + SAUTI
Oct 19, 2017 12:40Vyuo vikuu vya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara vimetangaza kuwa viko tayari kutengeneza mitaala inayoendana na mahitaji ya jamii ya wakazi wa bara la Afrika. Watalaamu kutoka vyuo vikuu vya mataifa ya kusini mwa jangwa hilo wamesema, kanda hiyo inaendelea kuwa na matatizo ya maendeleo duni kutokana na wahitimu wa vyuo vikuu kutokuwa na uwezo wa kutatua matatizo yanayozikabili jamii zao. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi
-
Mkutano wa Kimataifa wa Mabunge wagubikwa na malalamiko dhidi ya Israel + Video
Oct 19, 2017 09:33Spika wa Bunge la Kuwait ameutaja ujumbe wa utawala wa Kizayuni katika Mkutano wa Umoja wa Mabunge huko Russia kuwa ni ghasibu na unaoua watoto na akautaka ujumbe huo utoke kwenye ukumbi unapofanyikia mkutano huo.
-
Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video
Oct 19, 2017 04:08Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.
-
Serikali ya Trump yaanza kulegalega katika msimamo wake dhidi ya mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 17, 2017 00:51Baada ya kupita masaa 48 ya hotuba iliyojaa utata ya Rais Donald Trump wa Marekani, kuhusu sera mpya za Washington kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA), hivi sasa wakuu wa Ikulu ya White House wanajaribu kuonyesha kuwa Marekani inafungamana na mapatano hayo ya nyuklia.