-
Tufani iliyomsomba Trump
Oct 16, 2017 04:58Hotuba iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani na misimamo yake ya kustaajabisha kuhusu sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimezusha tufani na kimbunga kikubwa.
-
Idadi ya wahanga wa miripuko ya Mogadishu Somalia yafikia 231, Iran yalaani + Picha
Oct 15, 2017 13:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe
Oct 11, 2017 13:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, madhara ya kujitoa huko yatawakumba Wamarekani wenyewe. Amesisitiza kuwa, Iran haitakwamishwa na jambo lolote katika kufikia malengo yake.
-
SAUTI, Rais John Magufuli wa Tanzania awaapisha mawaziri na manaibu wao aliowateua hivi karibuni
Oct 09, 2017 13:07Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaapisha mawaziri na Manaibu Waziri ambao wametokana na mabadiliko madogo aliyoyafanya kwenye baraza lake la mawaziri.
-
SAUTI, Zaidi ya watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya waasi wa ADF-NALU mjini Beni Kong DR
Oct 09, 2017 13:07Zaidi ya watu 20 wameripotiwa kuuawa na wanamgambo wa kundi la waasi la ADF-NALU wa nchini Uganda huko mjini Beni, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Rohingya yaongezeka
Oct 09, 2017 05:09Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kuanzishwa kambi yenye idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wa Myanmar nchini Bangladesh ni hatari kubwa na umesisitiza kuwa, hatua hiyo inaweza kusababisha matatizo mengi ikiwa ni pamoja na kuenea magonjwa ya kuambukiza.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, ni bomoabomoa itakavyoathiri misikiti TZ, kupuuzwa siku ya Ijumaa Kenya nk ....
Oct 06, 2017 13:11Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia nchini Tanzania ambapo Waislamu wameonyesha kusikitishwa kutokana na bomoabomoa inayoendelea jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo imekuja baada ya kuwekwa alama ya x kwenye misikiti 16 kwa ajili ya kubomolewa.
-
SAUTI, Familia ya Tundu Lissu yakosoa mwendo wa kinyonga wa polisi Tanzania katika kufuatilia sakata la kupigwa risasi ndugu yao
Oct 05, 2017 12:22Familia ya mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, imelilalamikia jeshi la polisi la nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuchelewa katika kufanya uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi ndugu yao.
-
Hija katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Oct 04, 2017 03:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, jana alikutana na viongozi na wasimamizi wa msafara wa mahujaji wa Iran ambako ameashiria kuwepo kambi hatari sana, amilifu na iliyojizatiti kwa anuwai za nyenzo na suhula za propaganda ya kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Tofauti kati ya Trump na Rex W. Tillerson kuhusiana na Korea Kaskazini
Oct 03, 2017 04:23Kwa mara nyingine suala la namna ya Washington inavyotakiwa kukabiliana na Korea Kaskazini, limeibua tofauti kati ya Rais Donald Trump na Waziri wake wa Mambo ya Nje Rex W. Tillerson.