-
Wanajeshi vamizi wa Sudan wapata pigo, mamia wauawa nchini Yemen + Picha
Oct 01, 2017 00:29Toleo la mtandaoni la gazeti la al Akhbar la nchini Lebanon limetangaza habari ya kushindwa vibaya wanajeshi vamizi wa Sudan nchini Yemen. Kwa upande wake, mtandao wa habari wa Yemen Press umeandika kuwa, zaidi ya wanajeshi 400 wa Sudan wameshauawa hadi hivi sasa huko Yemen.
-
Kura ya maoni Kurdistan na namna Barzani anavyochezea moto
Sep 25, 2017 09:45Katika hali ambayo kulikuwapo tetesi za kufanyika au kutofanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq, hatimaye Masoud Barzani, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Kurdistan Iraq amesisitiza kuhusu kufanyika kura hii ya maoni leo hii.
-
Umoja wa Mataifa wataka kustawishwa eneo la Ziwa Chad
Sep 23, 2017 08:50Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuzingatiwa ustawi wa eneo la ziwa Chad kwa ajili ya kupambana vyema na vitendo vya uchupaji mipaka na ugaidi kufuatia kuzidi kuwa mbaya hali ya mambo katika eneo hilo.
-
Sauti, Bomoabomoa ya nyumba jijini Dar es Salaam, Tanzania yawaacha wakazi wa jiji hilo na hali ya suitafahamu bila kujua mamlaka husika
Sep 20, 2017 14:08Bomoabomoa ambayo imekuwa ikitekelezwa na uongozi wa jiji la Dar es Salaam, Tanzania umewaacha katika hali ya suitafahamu, wakazi wa jiji hilo.
-
Ukumbushaji wa Yemen kwa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za kivita za Saudi Arabia
Sep 20, 2017 03:15Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ametoa mwito wa kuundwa kamati huru ya kimataifa kwa ajili ya kuchunguza jinai za kivita za Saudi Arabia na washirika wake huko nchini Yemen.
-
Matakwa mapya ya kufanyiwa marekebisho muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 19, 2017 23:21Ikiwa ni katika harakati mpya, wawakilishi wa nchi 128 wametia saini mpango wa kutaka marekebisho yafanyike katika muundo wa Umoja wa Mataifa.
-
Mateso ya Waislamu wa Rohingya katika picha
Sep 17, 2017 06:31Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zinazoonesha sehemu ndogo to ya matezo makubwa yanayowatesa Waislamu wa jamii ya Rohingya kutokana na ukatili na unyama wa kuchupa mipaka wanaofanyiwa na mabudha
-
Sauti, Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia Kenya, matukio ya kisiasa Tanzania, kumalizika mwaka 1438 Hijiria na nchini Myanmar
Sep 15, 2017 11:50Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia sisitizo la Waislamu wa Kenya kuwa kitu kimoja na kujiepusha kununuliwa na wanasiasa katika kipindi hiki muhimu kuelekea uchaguzi wa marudio wa tarehe 17 Oktoba.
-
SAUTI, Mashirika ya haki za binaadamu 102 nchini Tanzania yamelaani vitendo vya utumiaji mabavu, uhalifu na utekaji nyara watu
Sep 12, 2017 13:47Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa kushirikiana na mashirika mengine 102 ya utetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania yamelaani vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kama shambulizi la risasi kwa viongozi mbalimbali, pamoja na matukio ya utekaji nyara wa watu.
-
Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Myanmar
Sep 08, 2017 12:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea tena mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya na kusema kuwa: Jamii ya Kimataifa inapaswa kuchukua hatua haraka bila ya kucheleza zaidi.