-
Jukwaa la wanasayansi wa Kiafrika laanzishwa nchini Rwanda kwa ajili ya kuinua sekta ya kilimo
Sep 07, 2017 10:03Kwa mara ya kwanza barani Afrika kumeanzishwa jukwaa la wanasayansi wanaolenga kutatua changamoto mbalimbli za maendeleo zinazolikabili bara hilo hususan katika sekta ya kilimo.
-
Saudi Arabia yaendeleza mauaji dhidi ya watu wa Yemen, UN yaendeleza siasa za kindumakuwili
Sep 06, 2017 23:49Mashambulizi ya jinai zinazofanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya Waislamu wa Yemen yamechukua sura mpya na ya kutisha kutokana na kushadidi mashambulizi ya anga dhidi ya makazi na nyumba za raia.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwepo amani Mashariki ya Kati, Peninsula ya Korea na Asia
Sep 06, 2017 11:42Rais Hassan Rouhani amesema amani ya bara la Asia hususan Peninsula ya Korea na eneo la Mashariki ya Kati vina umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kengele ya mauti kwa magaidi wa Daesh (ISIS) katika mji wa Deir ez-Zor, Syria
Sep 06, 2017 02:33Mafanikio ya jeshi la Syria na muqawama wa Hizbullah katika kuvunja mzingiro wa miaka mitatu katika mji wa Deir ez-Zor, mashariki mwa nchi hiyo, ni ushindi mwingine katika mapambano dhidi ya ugaidi wa ukufurishaji unaoungwa mkono na utawala haramu wa Israel na Marekani.
-
Sisitizo la Iran la udharura wa kuweko juhudi za nchi za Kiislamu za kuhitimisha mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Sep 06, 2017 00:55Waislamu wa jamii ya Rohingya wakiwa watu wanaounda jamii ya Myanmar hivi sasa wanaandamwa na wimbi jipya la mauaji na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi yao.
-
Jeshi la Syria lavunja mzingiro wa miaka 3 wa Dayr al-Zawr
Sep 04, 2017 03:18Kundi la kwanza la jeshi la Syria na wapiganaji wa Hizbullah limeingia katika mji wa Dayr al-Zawr uliokuwa ukizingirwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh kwa kipindi cha miaka 3.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji + Sauti
Aug 31, 2017 05:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo ametoa ujumbe kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu ambapo ameashiria siasa za mfumo wa kibeberu za kuzusha mifarakano kati ya Waislamu na kusema kuwa, ni wajibu wa viongozi wa nchi za Kiislamu, wasomi na wanafikra katika ulimwengu wa Kiislamu kuimarisha umoja, kuyazindua mataifa mbalimbali na kusitisha mara moja maafa machungu katika nchi za Waislamu.
-
Mahujaji
Aug 31, 2017 01:25Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Allah
-
SAUTI, Mahakama Kuu Kenya yauruhusu upinzani kukagua Computer za IEBC ili kuthibitisha kama kuna wizi ulivyofanyika kwenye uchaguzi
Aug 28, 2017 12:53Kesi inayopinga matokeo ya urais nchini Kenya imeanza kusikilizwa rasmi na mahakama ya juu zaidi nchini humo hii leo, huku uapnde wa malalamiko ambao ni muungano wa upinzani ukianza utetezi wake kwa saa tano.
-
Libya: Kibaraka wa Mossad alikuwa imamu wa Swala za jamaa na kiongozi wa Daesh Libya + Video
Aug 26, 2017 10:56Maafisa wa Libya wamethibitisha kuwa, wamemtia nguvuni kiongozi wa kundi la Daesh ambaye alikuwa akilifanyia kazi shirika la ujasusi la Israel, Mossad.