-
Qassemi: Vita dhidi ya ugaidi ni moja ya malengo ya kieneo ya siasa za kigeni za Iran
Aug 21, 2017 09:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, juhudi za kulinda amani na uthabiti na vita dhidi ya ugaidi ni miongoni mwa malengo ya kieneo ya siasa za kigeni za Iran na serikali mpya ya Rais Rouhani.
-
Sauti, Mahojiano kuhusu kuuawa na kujisalimisha viongozi zaidi wa ash-Shabab je, kuna maana ya kundi hilo kusambaratika au la?
Aug 20, 2017 11:59Jeshi la polisi Kenya limeongeza harakati ya kamatakamata ukanda wa Pwani, baada ya kuuwawa kiongozi wa masuala ya lojistiki wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ash-Shabab eneo bunge la Kisauni mjini Mombasa.
-
Sauti, zaidi ya watu 30 wameuawa katika mji wa Zemio unaotajwa kuwa ulio baki nyuma zaidi kimaendeleo nchini CAR
Aug 20, 2017 11:59Zaidi ya watu 30 wameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni muungano wa waasi wa Seleka na baadhi ya Anti-Balaka katika mji wa Zemio, ulioko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Malengo ya Marekani ya kuitambulisha Iran kwamba, eti ni muungaji mkono wa ugaidi
Aug 20, 2017 03:41Baada ya mashambulio ya Septemba 11 mwaka 2001, Rais wa wakati huo wa Marekani George W. Bush alitoa madai ya uongo na kuwanyooshea kidole cha tuhuma Waislamu na kuitangaza Marekani kuwa mbeba bendera ya Magharibi ya vita dhidi ya ugaidi.
-
Vita vya Saudi Arabia dhidi ya watoto wa Yemen
Aug 19, 2017 04:40Utangulizi wa ripoti iliyotayarishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto katika migogoro ya vita umeutuhumu muungano vamizi dhidi ya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia kuwa umekiuka haki za watoto.
-
Iran na Uturuki, udharura wa ushirikiano wa kiusalama
Aug 18, 2017 00:15Meja Jenerali Mohammad Baqeri, Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Uturuki amesema kuwa, nchi hizo mbili zimeazimia kuzidisha uhusiano na ushirikiano katika pande zote hususan katika masuala ya kijeshi na kiulinzi.
-
Hali ya kutoaminiana yatanda katika baraza la PGCC
Aug 17, 2017 07:52Miongoni mwa matokeo na athari mbaya za mivutano iliyopo baina ya Qatar na kundi la Kiarabu la 3+1 yaani nchi tatu wanachama katika Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi (PGCC) pamoja na Misri, ni kushadidi hali ya kutoaminiana ndani ya baraza hilo.
-
SAUTI, Raila Odinga: Naelekea mahakamani kuonyesha uchakachuaji wa IEBC ulivyofanyika kwa maslahi ya Rais Kenyatta
Aug 16, 2017 12:54Kinara wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya, Raila Odinga hatimaye amepasua mbarika na kusema kuwa ataenda katika Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya kura za urais yaliyompa ushindi hasimu wake Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee.
-
Saudi Arabia na papatupapatu za kujinasua kwenye kinamasi cha Yemen ilichokitengeneza yenyewe
Aug 15, 2017 23:34Barua pepe zilizofichuliwa ambazo mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia aliwaandikia Martin Indyk balozi wa zamani wa Marekani huko Israel na Stephen Hadley, mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani zinaonyesha kuwa, Muhammad bin Salman alikiri wazi nia ya nchi yake ya kutaka kujipapatua na vita vya Yemen ilivyovianzisha yenyewe.
-
Zarif: Trump amekuwa akitaka kuyasambaratisha makubaliano ya JCPOA
Aug 13, 2017 03:49Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni alidai kuwa Iran haiheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.